Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka wakalenjini na wakikikuyu kura zinatosha 51perc > hata wakienda kuhesabia Marekani.... Wait and c
umenifurahisha sana (nimecheka sana). Kweli i le ya kibaki inafaa iwekwe kwenye world book of records . Nakumbuka alisema hivi baada ya kuapishwa,' 'Sasa raisi ameshatangazwa na ameshaapishwa, mimi ndie raisi tuheshimiane ''ukienda kulala ukiamka jua imekula kwako mkuu!...huyo isaack mwenyewe nasikia kapiga 36hrs bila
usingizi. Zile kura za '07 watu walienda kulala walipoamka wakamkuta kibaki tayari keshaapishwa!
Ogopa sana watu sampuli hii.
Hiki ni kichekesho Tanzania kuunda tume huru? tangu lini. Tuna rundo la kesi tumeshindwa kufanya hizo tume. Tuliangalie suala hili upesi na lifanyiwe kazi. 2015 si mbali
umenifurahisha sana (nimecheka sana). Kweli i le ya kibaki inafaa iwekwe kwenye world book of records . Nakumbuka alisema hivi baada ya kuapishwa,' 'Sasa raisi ameshatangazwa na ameshaapishwa, mimi ndie raisi tuheshimiane ''
Kibaki alipata maulana toka kwa CCM na Mugabe... Chezea Makamba wewe!Kibaki alicheza kama ccm ndo maana alikuja kuaga
duuu wasiwasi wangu ni Kinana tu, akikajua hako kamchezo ka ku-hack haki ya mama CDM hatuna chetu 2015
Acha Conspiracy zako Tiba.Jamani hebu tujaribu kujiepusha na uzushi. Sababu za IEBC kusitisha on line provisional results si kwa kuwa wamekuwa hacked. Ukweli ni kwamba kulikuwa na technical mistake kwamba zile provisional results zilikuwa zinaonyesha idadi ya kura na percentage kwa kila mgombea. Bahati mbaya, hizo figures hazikujumuisha spoilt votes ambazo zinapashwa kuwa part ya kura zote zilizopigwa. Kama mkiangalia kwa makini hizi final results wameondoa suala la kila mgombea ana % ngapi. Hii imefanyika ili mwisho wa siku mshindi atakayetangazwa awe amekidhi vigezo vyote kisheria.
Sidhani kama Safaricom wanaweza kuwa wajinga kukubali kushiriki kwenye wizi wa kura!!!!
Tiba