March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Hivi tofauti kati ya 50% + 1 na 51% ni ipi??? Msaada wadau
 
Hivi tofauti kati ya 50% + 1 na 51% ni ipi??? Msaada wadau

.....

Tufanye assumption kwamba wapiga kura ni 1000 na hakuna kura iliyoharibika; 50%+1vote=(50/100)*1000votes+1vote=501votes lakini 51%=(51/100)*1000=510votes unaona kuna tofauti ya kura tisa, hivyo kama kura ni nyingi sana basi na tofauti itazidi kuwa kubwa 50%+1 kama kura ni zaidi ya 103 basi ni ndogo sana ukilinganisha na 51%.
 
Mkuu Kimbunga,

Naona saizi watu wanakula kitheri, huku joto linapanda jamaa wa Rift valley, Turikana, Samburu, Saboti, Baringo, Kapenguria, Nakuru, Narok, mambo bado hayajakaa sawa.

Mkuu Ritz Rift Valley kule kwa wanandi, Kispsigis, Keiyo, Nandi ni ngome ya William arap Rutto hivyo wanakunywa busaa kwa shangwe. Maeneo kuanzia Kerich, Ainamoi, Nandi Hills, Bomet, Kipkelion, Baringo, nk ni kwa Ruto hasa jimbo la Uasin Gishu.
 
Last edited by a moderator:

Vipi kule Nyanyuki-Nyeri kwa wazee wa Chang'aa hali ikoje?

Historia inamuhukumu Jaluo wakati Wakikuyu wanapambana na Wakoloni Jaluo analeta upambe kwa Mkoloni.
 
Last edited by a moderator:
Kinaanza kueleweka hapo la msingi wagombea wakubaliane na matokeo yatakavyokuwa vinginevyo vurugu zitazuka tena safari hii
 
Mkuu Kimbunga,

Vipi kule Nyanyuki-Nyeri kwa wazee wa Chang'aa hali ikoje?

Historia inamuhukumu Jaluo wakati Wakikuyu wanapambana na Wakoloni Jaluo analeta upambe kwa Mkoloni.
Mkuu Ritz Nanyuki, Othaya, Nyeri watu wanakula Mokimooo na Kitheri kwa kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom