Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
Mkuu kazi ipo wapi hapo? Unaambiwa wapiga kura ni kama 14mill na waliopiga kura ni kama 70%. Naona kama kazi imekaribia kwisha hapo
Kwa hiyo waliopiga kura ni kama 9.8m!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kazi ipo wapi hapo? Unaambiwa wapiga kura ni kama 14mill na waliopiga kura ni kama 70%. Naona kama kazi imekaribia kwisha hapo
Mkuu usinikate tumbo bana, it should be 50% +1% hapo...sema tu style ya uandishi!
Hivi tofauti kati ya 50% + 1 na 51% ni ipi??? Msaada wadau
Hivi tofauti kati ya 50% + 1 na 51% ni ipi??? Msaada wadau
50% +1
Unasoma darasa la ngapi?
Vp hiyo +1 ni a single vote au one percent?
......
1 ni kura moja, 1% ni asilimia ya kura..1 ndio sahihi kwa nilivyoelewa
......
Hivi tofauti kati ya 50% + 1 na 51% ni ipi??? Msaada wadau
.....
Vidudu
unafanya nini sasa humu? nenda kacheze na wenzio
Mkuu Kimbunga,
Naona saizi watu wanakula kitheri, huku joto linapanda jamaa wa Rift valley, Turikana, Samburu, Saboti, Baringo, Kapenguria, Nakuru, Narok, mambo bado hayajakaa sawa.
Vp hiyo +1 ni a single vote au one percent?
Mkuu Ritz Rift Valley kule kwa wanandi, Kispsigis, Keiyo, Nandi ni ngome ya William arap Rutto hivyo wanakunywa busaa kwa shangwe. Maeneo kuanzia Kerich, Ainamoi, Nandi Hills, Bomet, Kipkelion, Baringo, nk ni kwa Ruto hasa jimbo la Uasin Gishu.