March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Uhuru Kenyatta: 5, 699, 640

Raila Odinga: 4, 786, 459
 
Maendeleo mapya, out of 262 constituencies, Uhuru is leading with 5,737,175 out of 11,268,834 casted votes ikiwakilisha asilimia 50.91

Tiba
 
Uhuru Kenyatta: 5, 781, 944

Raila Odinga: 4, 787, 643


Gap la Million moja linatafutwa sasa...
 
Wakuu, matokeo yalivyo kwa sasa yanampa ushindi Uhuru. Kura 5,159,344 alizonazo yanampa asilimia 50.003 kwa kura 10,312,347 ambazo zimewekwa kwenye hesabu. Asilimia 50.003 ni zaidi ya 50%+1

Tiba

Matokeo tayari ndo hivo Uhuru kachukua nchi, waliopiga kura ni 70% hivyo 14,308,221x70% = 10,015,755.

Hivyo, tactically, the GAME is already OVER.

Uhuru Kenyatta: 5, 667, 243

Raila Odinga:4, 776, 827


kweli huu ni mwaka wa Jubilee



hapo kama angekuwa sonko angesema jubiliehee jubiliahaaa
Uhuruehee uhuruahaa, Ruthoehee ruthoahaa
 
Majimbo 264, Uhuru ana 5,824,901 sawa na asilimia 51.27 ya kura zilizohesabiwa!!! Sijui kama kuna mtu atamzuia huyu jamaa kuingia ikulu sasa!!!!

Tiba
 
hii speed ni balaa..

Uhuru Kenyatta: 5, 824, 901

Raila Odinga: 4, 788, 067


chezea mtoto wa Jomo weye, gap la Million 1 na ushee..
 
Wapi huyu Ab Tichaz na Geza Ulole? I need a beer! This is going down to wire but it is evident the numbers are with the Jubilee coalition. The consequences?
 
...ili pambano linoge ebu tuondoe zile digit za saba...

...tufwanye hifi....

...Uhuru Kenyatta: 824, 901

...Raila Odinga: 788, 067..

..Gap la kama elfu 42 hivi, ha ha ha...
 
Kenyatta lazima atafikia 51%.Hongereni wana Kenya kwa uchaguzi wenye amani na utulivu kiasi chake!Tanzania tunatakiwa tuchapane kidogo ili heshima irudi maana dharau imekuwa nyingi sana kuna kundi la watu wachache wanajiona kama nchi hii yao pekee yao!subiri ipo siku tutashikishana adabu!
 
Wamtangaze Uhuru mchezo uishe, watu waendelee na shughuli zao, President Raila?President Uhuru? kuna tofauti gani kati katika maisha ya kila siku ya Mkenya wa kawaida...
 
wapendwa kwa mujibu wa k24 tv ambayo naiona live sasa, muda wowote uhuru atatangazwa. kwa sasa amepata kura 5,436,371. odinga ana 4,724,998. ukumbi umeshaandaliwa naviti watakavyokaa watu wake. ni kama hawataki kusema rasmi, wanaachia TUME YA UCHAGUZI, MWENYE UFAHAMU INAONEKANA UHURU KASHINDA. NITAWAPA MATOKEO YAKITOKA



Jubilee readies for big party


By JOHN NJAGI jnjagi@ke.nationmedia.com
Posted Friday, March 8 2013 at 19:26


Jubilee readies for big party - Politics - nation.co.ke

Tumpongeze:rockon:
Uhuru keshavuka hizo ulizoandika, sasa anaelekea kura Milioni sita (6 Million)....Tofauti ni zaidi ya kura Millioni Moja, its a wrap....:yo:
 
Back
Top Bottom