Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, matokeo yalivyo kwa sasa yanampa ushindi Uhuru. Kura 5,159,344 alizonazo yanampa asilimia 50.003 kwa kura 10,312,347 ambazo zimewekwa kwenye hesabu. Asilimia 50.003 ni zaidi ya 50%+1
Tiba
Matokeo tayari ndo hivo Uhuru kachukua nchi, waliopiga kura ni 70% hivyo 14,308,221x70% = 10,015,755.
Hivyo, tactically, the GAME is already OVER.
Uhuru Kenyatta: 5, 667, 243
Raila Odinga:4, 776, 827
kweli huu ni mwaka wa Jubilee
itakuwaje kenya kama atapita uhuru?
hapo kama angekuwa sonko angesema jubiliehee jubiliahaaa
Uhuruehee uhuruahaa, Ruthoehee ruthoahaa
wapendwa kwa mujibu wa k24 tv ambayo naiona live sasa, muda wowote uhuru atatangazwa. kwa sasa amepata kura 5,436,371. odinga ana 4,724,998. ukumbi umeshaandaliwa naviti watakavyokaa watu wake. ni kama hawataki kusema rasmi, wanaachia TUME YA UCHAGUZI, MWENYE UFAHAMU INAONEKANA UHURU KASHINDA. NITAWAPA MATOKEO YAKITOKA
Jubilee readies for big party
By JOHN NJAGI jnjagi@ke.nationmedia.com
Posted Friday, March 8 2013 at 19:26
Jubilee readies for big party - Politics - nation.co.ke