March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kuna watu wana vichwa vigumu utadhani vimetiwa mchanga
(source joti).
*Ili kushinda unatakiwa kupata 50% 1 vote(kura ya mtu mmoja)
*Uhuru yeye ana 50% + 4099 votes(badala ya kuzidisha moja kwenye 50% yeye amezidisha 4099)
*ambazo hizo zilizozidi (4099) ndo zina make 0.03% of all votes casted
so ana 50% 0.03% so ndo mshindi
hapa hakuna atakayebisha zaidi ya wale 60% ambao ni wahanga wa CSEE 2012

Mkuu Tangopori sio vichwa vigumu bali ni tafsiri sahihi ya +1
 
Kuna watu wana vichwa vigumu utadhani vimetiwa mchanga
(source joti).
*Ili kushinda unatakiwa kupata 50% 1 vote(kura ya mtu mmoja)
*Uhuru yeye ana 50% + 4099 votes(badala ya kuzidisha moja kwenye 50% yeye amezidisha 4099)
*ambazo hizo zilizozidi (4099) ndo zina make 0.03% of all votes casted
so ana 50% + 0.03% so ndo mshindi
hapa hakuna atakayebisha zaidi ya wale 60% ambao ni wahanga wa CSEE 2012
Tatizo hawa watu hawajui tofauti ya absolute value na relative value, usiwalaumu hesabu zilikuwa zinakimbiza watu wengi sana madarasani, kwa nini hawajiulizi kama hiyo 1 ni %age kwa nini zisiandikwe pamoja yaani 51% badala ya 50%+1.
 
Mkuu Tangopori sio vichwa vigumu bali ni tafsiri sahihi ya +1

You guys are not even funny, hii 50%+1 imezungumziwa hapa sana na bado watu wanauliza tena hata baada ya kupata majibu. Why dont we just say majority of the votes cast maana 50%+1 pia inamaanisha ukijumlisha hizo kura zingine zote bado zitakuwa chache kuliko za anayeshida?
 
Uhuru won fairly but with a slim margin, Raila had a cool five years to marshall his troops but he only did so during the registration of voters phase which he didnt do as well despite severall attempts by his advisers to have a grassroot campaign. As a leader he never asked his voting block to take their vote...the clarion call wasnt just there. For Uhuru Kenyatta he even used foot soldiers to ensure that all lazy men, drunkards or grandmothers picked their vote. The difference is there for all to see.
Its here that UK beat us, western divide of Kenya never had the numbers despite being the second largest tribe. Whoever is goin to lead us the "Republicans" next, come 2017 he must look into this. Call out the numbers n dont burn bridges the beautiful bridges.
For now i concede, the better team won. Whether the hague or sanctions..whatever befalls my motherland...we march forward as Kenyans. MAY PEACE, DEVT & PROSPERITY BE FELT ALL OVER MY MOTHERLAND.
~GOD BLESS KENYA~
 
Wakenya wanaamini Uhuru alipelekwa ICC kwa kuonewa, watuhumiwa halali ni Kibaki na Raila, ICC iliwabeba kwa vile walikuwa ikulu. Uhuru kapelekwa ikulu ili Kibaki na Raila wapelekwe ICC. Hongera Kenya kwa maamuzi ya haki na haki iteremke kama maji, amen.

hata kama uhuru alihusika he was protecting his people. kumbuka laila ndio alikuwa amegomea matokeo 2007 so yeye ndio alilianzisha.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya 51% na 50% + 1. Hapa kinachosemwa ni 50% + 1 vote. Hii ina maana mshindi alipashwa apate 50% ya kura zote zilizopigwa na angalau kura moja zaidi.

Tiba

Hapo kama huyu Pasco_jr_ngumi hajaelewa itabidi kumsamehe maana umetumia lugha nyepesi kuliko ile ambayo imeonekana kua ngumu kwake.
 
....Urais wa Odinga ulikuwa umeshikiliwa na William Samoe Ruto, bahati mbaya kwa kujiamini kizembe akautema mti wa kupandia kwenda kileleni na matokeo yake kama wahenga walivyosema majuto ni mjukuu, round one, kwisha habari yake....

Nakubaliana na wewe asilimia mia, kosa kubwa lililopoteza ndoto za RAO ni hilo na kama kuna watu wanatakiwa kumshauri wangemshauri asiangaike kwenda mahakamani badala yake atumie mda huo kujutia makosa yake.
 
Nakubaliana na wewe asilimia mia, kosa kubwa lililopoteza ndoto za RAO ni hilo na kama kuna watu wanatakiwa kumshauri wangemshauri asiangaike kwenda mahakamani badala yake atumie mda huo kujutia makosa yake.


Dah huyo Ruto ni mtu makini anaejuwa siasa za Kenya vilivyo.
Inaaminika pia ndie aliemshawishi Uhuru kugombea na kutengua ahadi yake alomuahidi Musalia Mudavadi kuwa hatogombea uraisi ili amsapoti.
Ruto kamanda kutoka Eldoret ni mtu makini ambaye anajuwa kucheza na hisia za wakenya na ndio maana ana uwezo wa kupenya kwenye ngome ya mtu yeyote yule na kupata Kura.
 
Dah huyo Ruto ni mtu makini anaejuwa siasa za Kenya vilivyo.
Inaaminika pia ndie aliemshawishi Uhuru kugombea na kutengua ahadi yake alomuahidi Musalia Mudavadi kuwa hatogombea uraisi ili amsapoti.
Ruto kamanda kutoka Eldoret ni mtu makini ambaye anajuwa kucheza na hisia za wakenya na ndio maana ana uwezo wa kupenya kwenye ngome ya mtu yeyote yule na kupata Kura.



Mkuu hata mwenyekiti wa ODM Henry Kosgey alijaribu kupunguza nguvu ya Ruto akajikuta anapitiwa na upepo wa nguvu hiyo wakati kijana wake(A. Kosgey) aliyekimbilia kwa Ruto amebebwa na nguvu hiyo.
 
Tumia akili wewe!! Hakuna 50% + 1 vote, haaaaaaa, haaaaa.

Itakuwa walioandika katiba ni majuha

In simple english wanasema more than 50 yan kinachoongezeka chochote ni zaid ya hamsin so hyo moja inaweza kuwa 0.000000000000000001% ambayo plus 50% inazid
 
mtoa mada kenyan,update andika kabisa kwa wino mwekundu bolded... FINAL OFFICIAL RESULTS,pia ongezea kwa herufi kubwa KENYA DECIDED UHURU KENYATTA THE PRESIDENT ELECT....tia chumvi kidogo KENYATTA RAIS WA WAKENYA WOTE AKIWEMO RAILA ODINGA

Ukishaandika hivyo,sasa nenda ukapumzike umefanya kazi nzito ku-update kwa almost wiki nzima,pole sana na hongera sana,kama wewe ni mwanaume na umeoa nina hakika hujampa unyumba mkeo karibia wiki sasa,nenda sasa ukampe unyumba mkeo....ole wako mkeo awe shabiki wa raila imekula kwako!lol
 
Huyu mwenyekiti wa IEBC sio kwamba amekuwa na saa za kiswahili tu bali pia anakaribia kuiletea Kenya aibu kwani alitangaza kwamba atatoa final official results leo saa 5 lakini mpaka sasa bado hajatokea mpaka sasa. Kumbuka hapa wamefika mabalozi, viongozi wa mashirika ya kimataifa waliopo Nairobi, international media n.k lakini yeye analeta uswahili.

Too bad.

Tiba
 
Uhuru amepata 50% plus 3,600. So, yuko well above the threshold!We also need our own Uhuru (a certain Nyerere ambaye si mwana CCM). Hivi huyu anayeitwa Madaraka Nyerere vipi?

Madaraka Nyerere hataki siasa kabisa
 
Safi sana
Sababu yangu kuu ya kumuunga Uhuru ni kupeleka message kwa mabeberu wa magharibi ya kwamba waafrika hatuwasikilizi tena na ukoloni wenu maomboleo. Sikuwa na sababu nyingine zaidi ya hii. Maana wakiamini waafrika wanatoa maamuzi kwa kuwasikiliza hawa mabeberu basi tunaonekana sie waafrika si makoloni yao tu bali tu wajinga hatuna akili za utambuzi.

MESSAGE SENT, di di di di delivered.

Kama wanataka ukoloni basi waje na mabomu yao ya ICC, UN security, NATO, Sanction ili wote tujue tumetawaliwa kwa nguvu kwa sababu hatuna majeshi ya kupambana nao. Na si kutawaliwa kiakili na kimawazo, kimaamuzi na ki-utashi.

Haitaji kuwa na drones science kutambua UN, UN security, NATO, ICC ni entity za colonial enforcement, thanks to China na Russia wameanza kuliona hilo na ku block maeneo kadhaa haswa kule Syria.

Inahitaji kuwa na akili ya mwendawazimu wa kwanza kukubalina na rebel wa syria wanatakiwa kuungwa mkono na nato, un, wakati wale rebel wa Mari wanatakiwa kupigwa mabomu na nato, un nk.

Asanteni wakenya.
 
Halafa nashangaa watu wanapiga kelele eti siasa za Kenya zimejaa ukabila,waulize kina Dr. Salim,Malecela,Zitto,Dr Slaa
SIASA NI MCHEZO MCHAFU UKIINGIA HUKO JIANDAE KWA LOLOTE LITAKALOKUTOKEA
Haijalishi ni China,Urussi,France,US,Brazil,South Africa
 
Back
Top Bottom