Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

Hujajibu swali langu hata moja na badala yake umetoa maelezo ya jumla! Na swali la msingi hapa, bila kujali MJ Records yupo chini ya mamlaka gani; je ownership ya kazi zake inatambuliwa vp contrary to registered work?

That's one, but second MJ Records as a company na kuwa chini ya BRELA bado haimaanishi kazi zinazofanywa na entities zilizokuwa registered na BRELA zina - assume LEGAL ownership by default! Hata huko huko BRELA zipo kazi zinazosajiriwa kwa malengo yale yale ya COSOTA... kwa mfano, Patent Right!

Vile vile tuje hilo suala la MoU ya MJ Records... unadhani itakuwa inasema nini? Let me guess, moja ya vipengele kitasoma "Muziki na midundo inayotengenezwa MJ Records itakuwa ni mali ya MJ Records!"

Kimsingi, hicho kipengele kitambana kirahisi mtu aliye label kv linapokuja suala la label msanii moja kwa moja anaingia mkataba na record label kwahiyo yote atakayofanya yataangukia kwenye mkataba na kampuni!

Sasa turudi kwa "walk in" (Outsider )artist ambae HAUNA mkataba nae! Umetengeneza beat na umempa bila mkataba! Now tell me, kunapokuwa na dispute kati yenu; uta-prove vp kwamba beat husika ni ya MJ Records?!

Tatu, kinachosajiriwa ni kazi kwahiyo haijalishi ikiwa ni individual produced work or company produced work! The difference ni owner identification ambapo individual property owner ataenda na mavitambulisho wakati kampuni itaenda na Certificate of Registration, Articles of Association pamoja na MoU! Kusema MJ Records hana sababu ya kufanya hayo simply because ni kampuni chini ya BRELA ni sawa na kusema hata Step Entertainment, Proins n.k nao hawana sababu ya kufanya hivyo kv nazo ni kampuni chini ya BRELA!

Also, naona you're missing a point somewhere!! Mosi, hakuna anayesema MJ Records wanalazimika kusajiri kazi COSOTA... in fact, sio MJ Records tu but anyone else including individual artists! COSOTA ni Copyright Association... mkazo hapa ni suala la Association! Kv ni association, kuhitaji huduma zao ni HIARI ili kama unataka kuwa legally copyrighted and protected utatumia huduma zao! In case of dispute, documents za COSOTA zina nguvu!

Sasa ikiwa MJ Records wana namna ya ku-protect ownership ya kazi zao hawalazimiki kutumia COSOTA lakini protection hiyo haiwezi kuwa under the umbrella ya only because wapo chini ya BRELA! Kwenye post zilizopita, niligusia hicho kitu ingawaje nlikuwa na mashaka ikiwa kinafanyika! Kwamba, MJ Records as a Company wanaweza kuwa na mkataba wao kabisa CERTIFIED by Advocate. Wanatoa beat kwa Blue ambae nae ana - declare kwamba hii beat ni mali ya MJ Records na yeye haki zake zinaishia hapa!!

Hata hivyo, hiki kitu hawafanyi na ndio maana hata Marco Chali ameishia kusema "tumetoa beat for love....!"

Kwamba kusajili COSOTA wala c kwamba ndo umemaliza kazi that's why hata mbele wasanii wanakuwa na lawyers!

Kwanza cjasema ukishasajili COSOTA ndo ushamaliza kazi... Nilichosema, inapotokea legal battle; huyu ambae anaonekana ana copyright from COSOTA ana nafasi kubwa ya kushinda battle! Mtu kuwa na lawyer hakuondoi role ya copyright society kv hizi ni entities zenye roles tofauti! Inapotokea haki ya msanii kutaka kuporwa, first contact ni lawyer wake na ni huyu ndie atafikisha issue to next levels ambako, huko mbele ya safari itakuja role ya COSOTA as custodian of copyright! Kwahiyo role ya lawyer ipo pale pale hata kama upo copyrighted... na hii ni sehemu yoyote ile duniani!

Kuhusu kumpa Blue for love na ngoma kufika mbali basi wewe ndo hujaelewa au unajifanya kutoelewa!

Kwanza kabisa wala co kwamba amepumbaza watu... hicho walichofanya kinafanyika sana tena sana na studios! In short, inakuwa in the form of quid pro quo deal! Endapo studio ni mpya, wanatumia hii njia ya kutoa beat kwa wasanii wakubwa kama njia ya kujitangaza! Assumption ni kwamba, kv ni msanii mkubwa, ngoma ita-hit na watu watataka kufahamu imetengenezwa wapi na producer ni nani! Kwa upande mwingine, ikiwa Producer ni underground; ni kawaida sana studio kutoa beat for free ili kumtangaza Producer!! Hili la kumtangaza Producer ndio lengo la hii issue... ilikuwa kumtangaza mdogo wake Marco!

Kwahiyo hakuna suala la kupumbaza hapo but that's how it's! Hapo ndipo tunakuja hoja yako ya pili; kwamba aliposema wimbo kufika mbali alimaniisha HELA! Jibu ni kwamba hakumaanisha pesa bali kumtangaza Producer! Which means, endapo Blue angewekeza energy ya kutosha; akatengeneza hadi video; ina maana ngoma ingechezwa sana na hatimae kufikia main goal ya kumtangaza Producer! Ktk mazingira kama hayo, pesa ni second goal!
 
Chali kazingua sana Na huyo dogo wake ...
Sugu acha kudhurumu vijana wenzako Na hyo umeimba vibaya
 
lol..so kwa mtazamo huo Blue ana stand a case dhidi ya sugu and Mj records?

kwa vigezo vipi?
 
MosDef, inawezekana hunisomi vizuri vinginevyo hili swali nilishajibu from my first post with you! Kwenye ile post, nilitoa different possibilities ambazo zikiwa fulfilled zinaweza kutoa the LEGAL owner of the work!!
 
Tatizo studio za bongo znaendeshwa kishkaji haya matatizo yalishatokea hata kwa B Hits na Mabeste,PFunk- Langa-FidQ.Producer wangefuata utaratibu unaotakiwa hiyo sekta isingekuwa na hayo matatizo
 
Bila kusahau Majani huyo huyo alishawahi kutoa beat aliyoifanyia kazi Prof. J akaitoa kwa Chameleon bila kumjulisha Prof.
 
We jamaa akili zako nashindwa kuzitofautisha na akili za mende aliyekunywa sumu umeshaambiwa beat ni mali ya Marco na sugu ndiye aliyepewa hyo beat sugu akamchangua blue, blue akaja kuingiza mashairi yake kwenye huo wimbo blue akaja kupitia mlango wa nyuma akaenda kuachia mkito wakati anautoa Marco na sugu hawakuwa na taarifa, Sugu ndipo akarudi kuogea na Chali kumuomba atoe vition nyingine ndiyo maana kwenye video Marco alionekana mwenye wimbo

Weeeh ni Ta ckooo kwelii,naona umekuja kunitafutia ban. Kama Sugu ana ku sugua komaaa na mahaba yenu ndani, usilete upimbi wako na kuleta personal attack. dc
 
Back
Top Bottom