You see!! Kwahiyo unaona anayetakiwa kupata copyright ni Mwanamuziki peke yake lakini Record Label inakuja by default?!
Remember, UNLESS tuhamie to "how the industry works," but for now tupo kisheria zaidi!!
Sasa, unapoenda COSOTA ku-copyright your Work, moja ya viambatanisho ni media uliyohifadhia kazi yako and for this discussion can be CD or DVD!
QUESTIONS:
1. Unadhani beats haziwi copyrighted?
2. Kama haziwi copyrighted, hivi unaamini kuwa na studio peke yake kunakupa nguvu kisheria kwamba wewe ndie mmiliki halali wa "beat" husika?
3. Kama unapata uhalali hapo juu; ni kwa kutumia vigezo gani?
4. Assume, wewe ni Creator from MJ Records na beat yako ya Freedom huku ukiwa na imani kwamba you don't have to copyright your beat! Kwa upande mwingine, mimi ni COSOTA Member ambae pia nina Studio hata kama ni ya kizushi lakini nimeenda COSOTA na CD of the same Freedom beat na baada ya kujiridhisha, ikawa copyrighted kwa jina langu!
Sooner or later, ikatokea dispute kati yetu inayotufikisha mahakamani! Now, who stands the chance to win? Kama unaamini you stand the chance; ,kwa kutumia grounds zipi?
Mj Records HAIFANYI kazi na COSOTA, na wala haina ULAZIMA wa kufuata CONDITIONS za COSOTA, simply because Mj Records ni kampuni ambayo imesajiliwa chini ya BRELA na inafanya kazi kwa conditions za BRELA, kupitia sheria inayogovern Companies (Companies Act)..at the same time Mj records as a Company, ina memorandum yake ambayo inagovern kazi zake, hii ina maana kuwa Mj Records ni LEGAL ENTITY..COSOTA ina mamlaka juu ya wasanii/producers watakaokuwa kwenye label ya Mj Records (only IF, label itaamua kuwasajili COSOTA, under Regulations za CN Act ya mwaka 1999)..otherwise COSOTA hana mamlaka ya kuingilia maamuzi na haki za umiliki wa kazi za Mj Records.
huko juu nilikuambia kuhusu ni nani ndiye Actual owner wa hii kazi, kwasababu Creator wa hii kazi anatoka Mj Records (Producer ambaye kaajiliwa Mj records) anafanya kazi chini ya Mj Records na chini ya Regulations za Mj Records (rejea memorandum ya Company)..so mmiliki halali wa hii midundo anabakia kuwa Mj Records..ad its not up to Mj Records kwenda kusajili kazi zake COSOTA, coz COSOTA aint governing Mj Records kivyovyote (as a Company (legal entity)...
Marco chali anasema walimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" tu, na wakati huo huo Marco Chali anasema "wenyewe kama Mj Records walitaka nyimbo ifike mbali" hapo umeelewa nn kwenye kauli mbili? kwanza kusema kuwa alimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" ni kuwapumbaza waTz, na hiyo kauli ya pili inaonyesha Mj Records walitaka hiyo nyimbo iingize HELA, Blue akaipeleka hiyo nyimbo "mkito" which hakuwa na
"
You see!! Kwahiyo unaona anayetakiwa kupata copyright ni Mwanamuziki peke yake lakini Record Label inakuja by default?!
Remember, UNLESS tuhamie to "how the industry works," but for now tupo kisheria zaidi!!
Sasa, unapoenda COSOTA ku-copyright your Work, moja ya viambatanisho ni media uliyohifadhia kazi yako and for this discussion can be CD or DVD!
QUESTIONS:
1. Unadhani beats haziwi copyrighted?
2. Kama haziwi copyrighted, hivi unaamini kuwa na studio peke yake kunakupa nguvu kisheria kwamba wewe ndie mmiliki halali wa "beat" husika?
3. Kama unapata uhalali hapo juu; ni kwa kutumia vigezo gani?
4. Assume, wewe ni Creator from MJ Records na beat yako ya Freedom huku ukiwa na imani kwamba you don't have to copyright your beat! Kwa upande mwingine, mimi ni COSOTA Member ambae pia nina Studio hata kama ni ya kizushi lakini nimeenda COSOTA na CD of the same Freedom beat na baada ya kujiridhisha, ikawa copyrighted kwa jina langu!
Sooner or later, ikatokea dispute kati yetu inayotufikisha mahakamani! Now, who stands the chance to win? Kama unaamini you stand the chance; ,kwa kutumia grounds zipi?
Mj Records HAIFANYI kazi na COSOTA, na wala haina ULAZIMA wa kufuata CONDITIONS za COSOTA, simply because Mj Records ni kampuni ambayo imesajiliwa chini ya BRELA na inafanya kazi kwa conditions za BRELA, kupitia sheria inayogovern Companies (Companies Act)..at the same time Mj records as a Company, ina memorandum yake ambayo inagovern kazi zake, hii ina maana kuwa Mj Records ni LEGAL ENTITY..COSOTA ina mamlaka juu ya wasanii/producers watakaokuwa kwenye label ya Mj Records (only IF, label itaamua kuwasajili COSOTA, under Regulations za CN Act ya mwaka 1999)..otherwise COSOTA hana mamlaka ya kuingilia maamuzi na haki za umiliki wa kazi za Mj Records.
huko juu nilikuambia kuhusu ni nani ndiye Actual owner wa hii kazi, kwasababu Creator wa hii kazi anatoka Mj Records (Producer ambaye kaajiliwa Mj records) anafanya kazi chini ya Mj Records na chini ya Regulations za Mj Records (rejea memorandum ya Company)..so mmiliki halali wa hii midundo anabakia kuwa Mj Records..ad its not up to Mj Records kwenda kusajili kazi zake COSOTA, coz COSOTA aint governing Mj Records kivyovyote (as a Company (legal entity)...
Marco chali anasema walimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" tu, na wakati huo huo Marco Chali anasema "wenyewe kama Mj Records walitaka nyimbo ifike mbali" hapo umeelewa nn kwenye kauli mbili? kwanza kusema kuwa alimpa Blue nyimbo kwaajili ya "love" ni kuwapumbaza waTz, na hiyo kauli ya pili inaonyesha Mj Records walitaka hiyo nyimbo iingize HELA, Blue akaipeleka hiyo nyimbo "mkito" which hakukuwa na "official release" ya hiyo nyimbo..katika hilo suala la "love" chali anashindwa tu kusema kuwa Recordings company za bongo zinafanya kazi kwa compesations/royalties zaidi, na siyo kwa malipo ya moja kwa moja, (unaingiza kulingana na nyimbo inavyozidi kupata airtime), it means msanii mwenyewe anaamua either awe na full ownership ya wimbo au kuwe na co-ownership ya wimbo (hii inategemea na producer atatakaje)..au akaamua kuingia mkataba/makubaliano kuwa katika wimbo huu me nitakuwa na asilimia flani na recording company itakuwa na asilimia flani..here sheria inampa faida zaidi msanii coz anachukua asilimia kubwa (asa far as suala ya compasations lipo in place)..so kama kungekuwa na makubaliano ya kibiashara kati ya Blue na Mj Records, hii
nyimbo blue alikuwa hana budi kuifanyia official release..na kwa comments za Blue na Mj Records HAKUKUWA na makubaliano (legal binding) kati ya hizo pande mbili..na hapo nyimbo inabakia kuwa mali ya Mj Records Company..na siyo ya Blue..na kama hakukuwa na makubaliano yoyote kati ya Blue na Mj Records ambapo ndo ieleweke hapa kuwa wana "Economic right" ya nyimbo, Blue hata angeipeleka COSOTA, kisheria bado hana nafasi, coz hakuna makaubaliano kati yake na mwenye economic rights wa hiyo nyimbo..na sidhani kama Legal department ya COSOTA, inafanya kazi kiholela namna hovyo..
Kama Blue hana:
1. Ownership ya wimbo
2. Co-ownership ya wimbo
3. Any legal agreement kati yake na Mj
basi hawezi kulia kuwa kaibiwa wimbo, hawezi kuisajili nyimbo COSOTA, chini ya sheria ya Copyright and Neighbouring Act na Regulations zake, na pia hawezi kuacquire Song license..
Unaelewa maana ya Company? Mj Records ni LEGAL ENTITY, kila wanachofanya kipo chini ya sheria, na kama Company inayodeal na masuala ya music lazima inafuata sheria mama ya masuala ya copyright hapa Tz ambayo ndo hiyo CN ya mwaka 1999, na kama Company lazima ina regulations zake zinazogovern mambo ya Copyright, hence wakampa nyimbo Sugu..hakuna Company ambayo inadeal na Music inaigore copyright ishuz na masuala ya IP..
And wewe kama ni msanii, usifikiri kuwa COSOTA ndo mwisho wa matatizo yako, kwamba ukishasajili ngoma ndo umefanikiwa, hence wasanii wengi wakubwa wana lawyers, unaweza ukaipeleka nyimbo kuisajili COSOTA, lakini mimi nikaja kuifuta kwa kutumia Sheria zinazoigovern COSOTA hiyo hiyo..na do maana WIPO (World Intellectual property org), IPRS, WTO, CN and other laws, na COSOTA wenyewe wanaencourage msanii wa muzik.awe na Music license (ya kila nyimbo yake)..hiyo ndiyo itamweka safe siku zote..
here unatakiwa ujue kuwa Blue kakosea mwenyewe, na pia unatakiwa ujue kuwa Mj Records ni Legal entity, na chochote unachofanya katika law, ni lazma kuwe na legal agreements (contracts) ili kufanya arguments zako ziwe Valid..Blue hana "Legal status" katika hili suala.
mwisho Mj Records ni owner halisi wa hii nyimbo, kungekuwa na transfer za haki ya umiliki kwa blue, au kungekuwa na Joint ownership kati ya Mj na Blue, au kungekuwa na any legal binding agreement (business) kati ya blue na Mj kesi ingekuwa tofauti.