Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

Marco Chali: Wimbo wa 'Freedom' sio wa Mr. Blue

Huyo Sugu ametia aibu mbunge mzima kuiba wimbo wa kijana mdogo.

Utetezi wanaotoa hauna ata mashiko.

Kama mashahiri yamemwishia kwani lazima aendelee kuimba.

We nae umedandia treni tu na kuanza kumshambulia Sugu hata story hujaielewa. Sasa mashairi gani unayosema wewe?
 
Nimemsikiliza hapa Mr Blue

Kumbe anachotaka yeye ni ile "Recognition" tu...kwamba walau Marco Chali au Sugu wangempigia tu simu
 
Nimemsikiliza hapa Mr Blue

Kumbe anachotaka yeye ni ile "Recognition" tu...kwamba walau Marco Chali au Sugu wangempigia tu simu

Asibadilishe maneno kwa vile ukweli umejulikana. First statement yake ilikuwa Sugu kamuibia wimbo wake aliomshirikisha. Ndio maana ni muhimu kufikiria mara mbili kabla ya kutangaza kitu kwenye public. Na yeye alitakiwa awasiliane na Sugu au Daxo Chali kabla kwenda kwenye mahakama ya Instagram.
 
Dogo akapuzishe hakili alee familia, aache mbwembwe kutafuta kiki
 
Ukweli ni kwamba Blue hajaibiwa wimbo bali Sugu ametumia beat ya wimbo ambao blue ashaimbia, na kitu ambacho watu hawafahamu ni kwamba beat ni mali ya producer na ndo maana unaweza ukasikia nyimbo nyingi kwa beat moja mfano riddim nyingi ukisikiliza znakuwa na beat znazofanana, so kwa upande wa beat Blue asipotoshe

Ukija kuangalia chorus nayo imebainika ni idea ya producer na producer kama mmiliki ameamua kuwa idea na beat kwa wasanii wawil bure but hakuwa hati miliki yake so bado hata hapo Blue madai yake yanakuwa hayana mashiko

Hii case ishawahi kutokea kwa Diamond wakati ametoa wimbo wa my number one, kuna msanii alijitokeza akadai diamond ameiba beat lake while hakuna kitu kama hicho katika ulimwengu wa mziki

Blue alikosea kuanza kuropoka kwenye media kama ameibiwa nyimbo
 
Watu watamtetea tu Sugu kwa sababu ni mheshimiwa... msanii anapewa ngoma anaifanyia kazi, then ngoma hiyohiyo anapewa mtu mwingine! Anafanya na video kabsa! Is this right kweli? Mi nadhani yuole aliyekuwa wa kwanza kupewa ndiyo mwenye ngoma yake, suala la promo linahusikaje? Posho bungeni ale, mshahara wa ubunge ale, mpaka ngoma za machalii nazo azibake? Wakale wapi sasa...
Wakale kwa Bob na micharazo[emoji57]
 
Nimemsikiliza hapa Mr Blue

Kumbe anachotaka yeye ni ile "Recognition" tu...kwamba walau Marco Chali au Sugu wangempigia tu simu

umemsikiliza bluu mwanzo mwisho na kumuelewa kweli au umeamua kujifanya bbwege makusudi na kuona eti bluu anachotaka ni recognition tu?
 
umemsikiliza bluu mwanzo mwisho na kumuelewa kweli au umeamua kujifanya bbwege makusudi na kuona eti bluu anachotaka ni recognition tu?
We kalagabaho akili yako kama jina lako...hapo Blue anasema "Mi Sugu angenipigia tu wala nisingekuwa na tatizo,wala sihitaji lolote zaidi ya haki ya kutambuliwa"
 
We kalagabaho akili yako kama jina lako...hapo Blue anasema "Mi Sugu angenipigia tu wala nisingekuwa na tatizo,wala sihitaji lolote zaidi ya haki ya kutambuliwa"
Je ulimsikiliza mwanzo kabla ya kuhojiwa hii mara ya pili??? saivi amekua mpole baada ya kutumbuliwa... mwanzo alisema wimbo wote ni wake maanina zake..
 
"Kwahiyo jamaa [Blue] akawa ameipenda tukampa
akasema atamshirikisha Mr Two"
Hapa pananipa shida kidogo
Me nadhani daxo angeendelea kumdai blue hela yake ya wimbo lkn sio kusema eti wimbo bado ni wake wakati hata ukienda mkito unaambiwa FREEDOM-BLUE FT SUGU
 
Blue mtoto mdogo kiumri kimaisha hata kimziki kwa sugu dogo hapendi kusahaulika kwenye media Mara kugombania jina la simba na mafia mond yan dogo anakua overrated
 
Back
Top Bottom