babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
blue ana element za ushoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu GHANI hebu nisaidie kumuelezea huyo jamaa hapo juu anaitwa kalagabaho
Hapa pananipa shida kidogo
Me nadhani daxo angeendelea kumdai blue hela yake ya wimbo lkn sio kusema eti wimbo bado ni wake wakati hata ukienda mkito unaambiwa FREEDOM-BLUE FT SUGU
mwenye hiyo nyimbo aiweke hapa
Sugu anatafuta pakutokea tuWimbo wa Blue tena aliimba na sugu baada ya kuombwa sana na sugu mwenyewe sijui kwanini watu wanaleta ushabiki wa kijinga
kalagabaho ukianza matusi wewe na Sugu mtakuwa hamna tofautiunapopenda na kushabikia upuuzi nawe unakuwa mpuuzi mara dufu..haya mwite tena bwanako aje kunijibu
Huyo chali mwenyewe anasema hapo kuwa Blue hajatoa pesa yoyote...sasa ndio maana sasa anamkana? kwa hiyo Blue angekuwa ametoa pesa ndio angeitwa kuambiwa arudishe pesa ?"Kwahiyo jamaa [Blue] akawa ameipenda tukampa
akasema atamshirikisha Mr Two"
Hapa Marco chali kajimaliza mwenyewe mmempa wimbo alafu leo mnasema sio wa kwake. Tunajua mmemgeuka sababu ya pesa ila Sugu ni mwizi na atabaki kuwa hivyo alafu anajifanya mtetezi wa haki za wasanii.
Tatizo la blue ni kosa alilolifanya miaka mingi iliyopita kosa lenyewe ni KUACHA SHULE.....
na hili ni janga kwa wasanii wetu wengi...
shule shule shule...
elimu elimu elimu....
mwenzake sugu hata kama shule hajapita ni kuwa yuko karibu na kina tundu lissu, marando angalau sheria anazijua jua... na kukaa kaa bungeni nako kunasaidia
sasa mwenzangu na mie huyu anashinda na nyandu tozi na bob micharazo kuna anayejua sheria hapo??
![]()
We jamaa akili zako nashindwa kuzitofautisha na akili za mende aliyekunywa sumu umeshaambiwa beat ni mali ya Marco na sugu ndiye aliyepewa hyo beat sugu akamchangua blue, blue akaja kuingiza mashairi yake kwenye huo wimbo blue akaja kupitia mlango wa nyuma akaenda kuachia mkito wakati anautoa Marco na sugu hawakuwa na taarifa, Sugu ndipo akarudi kuogea na Chali kumuomba atoe vition nyingine ndiyo maana kwenye video Marco alionekana mwenye wimbokatika hili Sugu hajaonyesha UKongwe kabisaa. Yaani aliitwa akapewa Collable then kaamua kuufanya wake that is too low for him. By the way hajautendea haki wimbo wa Freedom ukilingnisha na original version, kiwango chake kipo chini kwasasa. Ni bora aka concentrate na mambo yake ya siasa huku akiendelea kutafakari juu ya Faiza Ally na drama za kumvua nguo hadharani.
Kama wimbo ni wa blue mwambie atupe risiti za malipo!Huyo waziri kivuli wa habari, utamaduni, michezo na sanaa kaiba nyimbo ya dogo na huyo Marco Chali aache kutetea ujinga wa Mheshimiwa.
Wasanii wangapi wamekuonyesha risiti za malipo za nyimbo wanazosema za kwao...? Mwizi ni mwizi tu na huyu Sugu ni ndumilakuwili kweli na Marco Chali njaa inamsumbua tu "Pesa ndio ilimaliza ugomvi wa Ruge na Sugu-R.O.M.A" baada ya kuwageuka vinega wenzake. tulitegenea awatetee wasanii wenzake kama waziri kivuli lakini badala yake yeye ndo anawaibia wasanii wenzake.Kama wimbo ni wa blue mwambie atupe risiti za malipo!
Jamaniiii umenchekesha mpaka nimepaliwa na kiranga uwiii
eti anashinda na nyandu tozi..maana nimewapatia picha wakiwa kijiweni wamekalia yale matairi chakavu ya magari huku wanashushiana mistari wenyewe halafa wanatoa kionjo kwa sauti "MICHARAZO BABY" hahahahhaha
"Kwahiyo jamaa [Blue] akawa ameipenda tukampa
akasema atamshirikisha Mr Two"
Hapa Marco chali kajimaliza mwenyewe mmempa wimbo alafu leo mnasema sio wa kwake. Tunajua mmemgeuka sababu ya pesa ila Sugu ni mwizi na atabaki kuwa hivyo alafu anajifanya mtetezi wa haki za wasanii.