Mara nyingi, superpowers kama US hutafuta controlled exit strategy badala ya kuingia kwenye prolonged conflict ambayo inaweza kuwa politically na economically costly. Hiyo concept ya “short and powerful strike” unayotaja inaendana na doctrine ya deterrence yaani unaonyesha nguvu ya kutosha ili kuweka message bila kujizamisha kwenye full-scale war. Na hii ndio maana waliita operation
Kauli za Don Trumpet mara nyingi zina reflect mindset ya “maximum pressure with minimum entanglement.” Lakini kama ulivyogusia, response ya Iran inaweza kuwa ime-complicate hiyo calculus. Iran wana history ya strategic patience pamoja na asymmetric responses, hivyo wanaweza kucheza game ya muda mrefu ambayo US haiwezi
Ikiwa Iran wana-sense kwamba US wanataka exit, wanaweza deliberately kuongeza pressure ili kufanya hiyo exit ionekane kama defeat badala ya repositioning. Hii ni classic psychological and geopolitical chess, sio tu vita ya silaha.
Kwa hiyo kusubiri kuona Trump anajichomoa au broadly US wanavyoadjust strategy ni valid kabisa. Mara nyingi hatua za mwisho ndio huonyesha malengo halisi kuliko kauli za mwanzo.
Unachoeleza kina coherence mchanganyiko wa military signaling, political optics na strategic timing