Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
SawaNchi ni mjumuiko wa vipande vidogo vidogo vya shamba .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNchi ni mjumuiko wa vipande vidogo vidogo vya shamba .
Same na hao kuna uhusiano gani? Different, very different. Hujui kitu.Hao jamaa na kupenda kurithi 😅😅,sijawahi kuona jamii inayopenda mali za urithi kama hiyo na kuna wazee wa kupenda kesi huko Same.
Kimbuzi kidogo utakua umekatiwa kipande kidgo huko uchagn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sehemu gani hiyo? Siyo kweli, nikiilinganisha ardhi ya Moshi na sehemu nyingine, bado hiyo ya Moshi inashika mkia.
Ardhi ya Moshi kwangu haina maajabu.
Halafu mimi siyo size ya kiwanja cha 10 kwa 12 ukirudha jiwe linaenda nyumba ya 7Kimbuzi kidogo utakua umekatiwa kipande kidgo huko uchagn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Halafu mimi siyo size ya kiwanja cha 10 kwa 12 ukirudha jiwe linaenda nyumba ya 7
Nipo km 30 kutoka eneo ambalo linauzwa laki moja na elfu kumi (110,000/=) kwa ekari moja.
Bei sawa na bure. Mtu akizozania vihamba vya Moshi huwa ninamdharau sana.