Marealle afungua kesi kutaka bibi yake afukuliwe mahala alipoishi miaka 80

Sehemu gani hiyo? Siyo kweli, nikiilinganisha ardhi ya Moshi na sehemu nyingine, bado hiyo ya Moshi inashika mkia.

Ardhi ya Moshi kwangu haina maajabu.
Kimbuzi kidogo utakua umekatiwa kipande kidgo huko uchagn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nipo km 30 kutoka eneo ambalo linauzwa laki moja na elfu kumi (110,000/=) kwa ekari moja.

Bei sawa na bure. Mtu akizozania vihamba vya Moshi huwa ninamdharau sana.

Mkuu upo mkoa gani?!! Wilaya gani?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…