Marefa wa bongo hovyo sana

Marefa wa bongo hovyo sana

Waamuzi wetu nao ni binadamu. Angalia ulaya na teknolojia zote na maslahi yao afu angalia ugoro wanafanya. Njoo bongo angalia hali halisi. Posho kiduchu, mafunzo duni na siasa yetu kuingilia mpira.
Tena kama EPL ndio ligi yenye waamuzi na maamuzi mabovu zaidi duniani

Wale waamuzi wa Epl hawastahl kabsa kuchezesha mechi kubwa.
 
Hiyo
a amekataa goli halali kabisa la singida big stars dhidi ya coastal union. TFF fungieni hawa marefa wanaharibu sana ligi.
Hiyo siyo Mara ya kwanza kwa coastal
 
Tena kama EPL ndio ligi yenye waamuzi na maamuzi mabovu zaidi duniani

Wale waamuzi wa Epl hawastahl kabsa kuchezesha mechi kubwa.
Ligi zingine unaangaliaga Hadi kuwajua marefa!?
 
Back
Top Bottom