gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Unawaza siasa tunatest mzigo nione kitu chaarusha kweli au feki.
👇
Baba Abdu amchapa makofi mama Abdu wa magogoni kwa kuzurula hovyo.
haa,,,kumbe chenyewe bana ni og.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawaza siasa tunatest mzigo nione kitu chaarusha kweli au feki.
👇
Baba Abdu amchapa makofi mama Abdu wa magogoni kwa kuzurula hovyo.
haa,,,kumbe chenyewe bana ni og.
Ningejua mapema ningecheki hiyo game,now nipo kwa bedKuhusu vipengele vingine, mambo yapo sawa. Dakika ya 46.
Mpira umemalizika. Belkane 5-Stelle 0.Waamuzi wa Tanzania ndio wanachezesha mechi ya shirikisho ambayo imeanza saa nne kamili kati ya RS Belkane vs Stellenbosch.
Mwamuzi wa kati-Ahmed Arajiga
Wasaidizi:
Salimu Mkono Mohamed
Seif Mpanga Kasimu
Nasir Salum Siyah
NB; Wengine hao wasaidizi wametoka Zanzibar sehemu ya Tanzania.
My take:
Hii mechi ntaiangalia mpaka mwisho mana sina usingizi ili nifanye tathmini kuhusu uwezo wa waamuzi wa Tanzania kwa kile wanachokifanya NBCPL na huko kimataifa ili kuona kama huwa kuna makusudi huku NBCPL!
Akikutana nayo atafika mbali mana ni kibonde kweli. Itakuwa imewakilisha nchi yao kwa ule mfumo kama wa kwetu wa mshindi wa FAHii timu iliyopigwa tano inaweza ikakutana na simba pia robo fainali.. simba inaweza ikafika fainali
Asante kwa taarifa na majumuisho yotee.Mpira umemalizika. Belkane 5-Stelle 0.
Marefa wetu kutoka Tanzania wamechezesha vizuri kuanzia kuziona offiside, rafu nk.
Kwa maoni yangu, sijui wataalamu mtasemaje. Arajiga hapendi kutoa kadi mapema mwa mchezo huwa namuona hata NBCPL ingawa kuna rafu mbaya ilichezwa iliyohitaji kadi lakini alimuonya kwa ukali sana mchezaji wa Belkane. Mpaka mpira unaisha, katoa kadi mbili za njano.
Kuhusu vipingele vingine, mfano kukimbia na muvu ili kuwa karibu na matukio, kuziona offside kwakweli wapo vizuri.
Hitimisho:
Ukiwaona hawa marefa wa mechi hii wanapuyanga huku NBCPL au huko ZPL ujue ni makusudi!
Huyo ndo anatakiwa kwenye michuano mikubwa maana kadi za ovyo ovyo huwa hakunaMpira umemalizika. Belkane 5-Stelle 0.