Marefarii kutoka TZ katika Shirikisho muda huu!

Hii timu iliyopigwa tano inaweza ikakutana na simba pia robo fainali.. simba inaweza ikafika fainali
 
Mpira umemalizika. Belkane 5-Stelle 0.

Marefa wetu kutoka Tanzania wamechezesha vizuri kuanzia kuziona offiside, rafu nk.

Kwa maoni yangu, sijui wataalamu mtasemaje. Arajiga hapendi kutoa kadi mapema mwa mchezo huwa namuona hata NBCPL ingawa kuna rafu mbaya ilichezwa iliyohitaji kadi lakini alimuonya kwa ukali sana mchezaji wa Belkane. Mpaka mpira unaisha, katoa kadi mbili za njano.

Kuhusu vipingele vingine, mfano kukimbia na muvu ili kuwa karibu na matukio, kuziona offside kwakweli wapo vizuri.

Hitimisho:
Ukiwaona hawa marefa wa mechi hii wanapuyanga huku NBCPL au huko ZPL ujue ni makusudi!
 
Hii timu iliyopigwa tano inaweza ikakutana na simba pia robo fainali.. simba inaweza ikafika fainali
Akikutana nayo atafika mbali mana ni kibonde kweli. Itakuwa imewakilisha nchi yao kwa ule mfumo kama wa kwetu wa mshindi wa FA
 
Asante kwa taarifa na majumuisho yotee.
 
Huyo ndo anatakiwa kwenye michuano mikubwa maana kadi za ovyo ovyo huwa hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…