Marefarii wanaotambulika na FIFA kutoka Afrika ya Mashariki

Marefarii wanaotambulika na FIFA kutoka Afrika ya Mashariki

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,069
Reaction score
25,172
Kutoka Kenya
1748552171279.png

Kutoka Uganda
1748552245385.png

1748552343226.png


Kutoka Rwanda
1748552417110.png


Kutoka Burundi

1748552509925.png


Kutoka DRC =Zero

Kutoka South Sudan

1748552622326.png

Kutoka Somalia
1748552685635.png


Kutoka Tanzania

1748552803703.png
 
Bado nguvu kubwa inahitajika kuongeza namba ya refs wetu kimataifa kwa ukubwa wa hii nchi, maendeleo ya mpira wa miguu bado hiyo namba ni ndogo ukifananisha na baadhi ya majirani zetu, kongole kwa waliofika hapo though.
 
Tanzania tukubali tu tuna mwamuzi mmoja tu wa kati. Na huyu ni Ahmed Arajiga. Hao wengine sijui Tatu Malogo, Hery Sasii, na wenzao wengine ni chenga tu!
 
Huyo Frank Komba ameanza kuwa international since 2015 lakini bado amebaki kuwa Assistance Referee mpaka leo.
Huko ndiko alikobobea! Yaani Waamuzi wasaidizi zamani walikuwa wanatambulika kama Lines men! Haimaanishi wao wana cheo kidogo! Isipokuwa wao ni waamuzi wasaidizi wa mwamuzi wa kati.
 
Wangapi kutoka Tz walichezesha afcon au World Cup au Olympic au cafcc / cafcl semi / final Kama tunavyoona wa nchi nyingine ?
 
Well understood, shukrani kwa ufafanuzi mkuu.
Huko ndiko alikobobea! Yaani Waamuzi wasaidizi zamani walikuwa wanatambulika kama Lines men! Haimaanishi wao wana cheo kidogo! Isipokuwa wao ni waamuzi wasaidizi wa mwamuzi wa kati.
 
Huyo Frank Komba ameanza kuwa international since 2015 lakini bado amebaki kuwa Assistance Referee mpaka leo.
Utaratubu kwani upoje hivi kibendera baada ya muda fulani anatakiwa kuwa refa wa kati au vipi ama wanapoanza ntazi za chini kila mtu anachagua eneo lake
 
Huko ndiko alikobobea! Yaani Waamuzi wasaidizi zamani walikuwa wanatambulika kama Lines men! Haimaanishi wao wana cheo kidogo! Isipokuwa wao ni waamuzi wasaidizi wa mwamuzi wa kati.
Mike Moe mkuu Tate Mkuu ameeleza vyema hapa, mimi nilikuwa nikifahamu kuwa Assistance ref. yupo chini ya ref wa kati lakini si hivyo, bali ni kama Tate alivyofafanua hapo ☝🏽.
 
Tuna marefa 18 wanaotambuliwa na FIFA ila maajabu ya dunia Simba katika mechi 8 za mwisho marefa 5 wamejirudia hao hao mechi zote🤣🚮

Karia kaifanya ligi ya familia yake hii🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom