Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

Mimi nilikua nafuatilia kipindi cha reality show yake yeye na jide Eatv
Alikua ni mkimya na msikivu, sio mwanaume mkorofi
Naona alikua anaishi kama vile hakuna kesho yeye nikuenjoy tu

Kitu kikubwa nilichojifunza kwake ni kufurahi muda wote..!
Hivi yule mtoto Jide alim'adopt alikuwa anamuonesha sana kwenye kipindi chake iliendaje?
 
Amefariki lini Gardener?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Apumzike Kwa Amani.

Wakati anatoa kauli Ile ilileta mjadala mkubwa saana. Wengine walisema kamdhalilisha jide wakisahau kuwa jide kila wimbo alikuwa anamuimba wengine walimsifu
Lakini mbona baadhi ya nyimbo inasemekana Gadner mwenyewe ndiyo alikuwa anamtungia...

Hata mambo matano Gadner amehusika..
 
Ile nyumba iliyokuwa inaonekana wakati anazikwa mbona ni nzuri tu.. Au angejenga nini?

Pengine amejenga sehemu nyingine siyo hapo alipozikwa...Wale wa Kaskazini wanaelewa..Kuna Watu wana nyumba wanazikiwa pengine..Sababu unakuta hakupewa "Kiamba"

Rejea Mzee Mengi.
 
Hizo zilikuwa wishes mzee,ulitaka asema anataka mwanae aolewe na maskini
 
Ila tukienda nacho tukarudi aliongea ukwl hata Mimi sitapenda binti yangu kuolewa na kapuku ...ila ikitokea ndo ishakuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…