Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Nikucorrect Kidogo TVZ imeanza mwaka 1971..
Nakumbuka Mwaka 86 ndo mzee amenunua TV nyumbani bado tukiwa zenji na ilikuwa unatumia TV za Tunning kama Radio na Zilikuwa Rangi ya Black and white..

Ya Pili ilikuwa Ni ITV mwaka 1994, Na Baadae DTV mwaka 1995 kama sikosei sana mwishoni mwa 95..

Hiyo TVT unayotaja Imeanza mwaka 1999 Tena kipindi cha Msiba wa Mwalimu Nyerere..
Na TVT imekuwa Sana Kufahamika zaidi kwa ajilimya Kurusha matangazo ya Mwalimu..

Na Zaidi baada ya Lile igizo la Jumba La Dhahabu l kina Tuesday Kihangala..

Hapo kwenye Hoja zako ndo umeprove kweli Wewe Ni mdogo
watu mna vichwa vya kutunza kumbukumbu. mimi bichwa langu kb. halina memory kabisa. mkitaja kama hivi nami ndio nakumbuka.
 
Kama kwenu mlichelewa kumiliki televisheni sio rahisi kumjua huyu.

Hasa wale wa vijijini hawawafahamu wasanii wengi sana wa maigizo, hata wa muziki wanawajua wale maarufu sana tu.

Mleta uzi zaidi ya Ray(Vicent kigosi) sijui kama kuna msanii mwingine wa maigizo anamfahamu.
 
Fika leaders club ukiona V8 nyingi iwe point ya kwanza...... Na kule atakakozikwa ukiona ofisi ya DC inatoa Michele, maji na mahitaji mengine unajiongeza.

Sheria zao zinazuia kumtambukusha akuwa hai au mfu isipokuwa mkurugenzi mkuu.

Hata hivyo tunawatambua wake WA mikoa na wilaya na mara nyingine wawakikishi wao kwenye kazi mahususi za kitaifa.
Kwenye msiba wa Membe wakati wanasoma historia yake walitaja kuhusu kuajiriwa na Idara na ni wazi kabisa Membe hakuwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara.
 
Sio weww wengi tu lakin kuna mijitu inasema alikua msanii mkubwa sanaaa tanzania level ya kanumba
Watu wanaoigiza kwenye nafasi za watu wazima ni ngumu kupata umaarufu mkubwa kwa sababu ni ngumu kwao kuwa casted kama main character sababu story nyingi huwafanya supporting actors

Ukiangalia mfano saloon ya mama kimbo ilimpa umaarufu mama kimbo kwa sababu alikuwa main character

Kwa hiyo Grace hakuwa level za kanumba kwa fame Ila kwa uwezo wa kufit roles zake, sidhani kama kanumba anamfikia.. Hivyo usishangae watu wanashtuka, katika waigizaji watu wazima huwezi weka top 5 jina lake likakosekana. She is a legend bro
 
Anajulikana sana mzee labda wewe kwako hakua maarufu binafsi mimi nimeanza kumuona enzi hizo nikiwa mtoto miaka ya 2000s tulikua tunamuangalia kupitia ITV kila jumamosi saa 3 usiku, walikua wanaigiza na mzee mmoja anajiita Masinde, alikua anapendwa sana.
Oya dogo niamkie😎😄
 
Watu wanaoigiza kwenye nafasi za watu wazima ni ngumu kupata umaarufu mkubwa kwa sababu ni ngumu kwao kuwa casted kama main character sababu story nyingi huwafanya supporting actors

Ukiangalia mfano saloon ya mama kimbo ilimpa umaarufu mama kimbo kwa sababu alikuwa main character

Kwa hiyo Grace hakuwa level za kanumba kwa fame Ila kwa uwezo wa kufit roles zake, sidhani kama kanumba anamfikia.. Hivyo usishangae watu wanashtuka, katika waigizaji watu wazima huwezi weka top 5 jina lake likakosekana. She is a legend bro
How come hata jina hana yaan jina la kumtambulisha kama wenzako wote hata kwa jina lake mpaka uulizie uelekezwe
 
How come hata jina hana yaan jina la kumtambulisha kama wenzako wote hata kwa jina lake mpaka uulizie uelekezwe
Bhasi hufuatilii tu mkuu na yeye hakutokea kaole au kikundi kingine kikubwa katika ile golden era ya tamthilia. Yeye alianza ITV kipindi tamthilia zinaishia lakini kutokana na kipaji aliweza kupata roles nyingi sana toka enzi za films za ray na kanumba. Kwa hiyo kwa harakaharaka ana miaka zaidi ya 15 pasipo kutoka katika macho ya watu

Yeah kipindi cha mwanzo aliitwa mama kawele Ila baadae hakuwa na jina la kisanaa kubwa Ila watu wanahuzunika kwa sababu wanamjua ikiwemo mimi
 
Back
Top Bottom