Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa

Msanii Grace Mapunda ni msanii mkongwe asiejulikana yaani kitaalam tunaita famous unkown lakin msiba wake umekuwa mkubwa kama wa msanii mkubwa Tanzania.

Pia, soma: TANZIA - Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

Mara ya kwanza naiona picha yake nikajiuliza nani huyu baada ya kuvuta picha ikaja picha yake.

Je, naye alikua anavaa suti nyeusi kwa siri kama mtangazaji wa Wasafi Mau Kikanga.

Maana wamekufa wasanii wengi lakini hakuna aliepewa nguvu kubwa na masikitiko mengi kama huyu

Pia soma: Chalamila ahimiza mfuko wa kwa ajili ya wasanii wa maigizo, Ofisi yake kutoa milioni 15
Labda wewe peke yako ndio ulikuwa haumfahamu.
 
Vipepeo wakifa wajuzi wa mambo hujua walikuwa ni akina nani hasa. Unakuta pastari au sheikh kafa, huo msiba wake ni balaa full coverage watu wazito na magari yao utawaona msibani ndio inafikirisha sana marehemu alikuwa anafanya kazi gani in and out!
 
Nikucorrect Kidogo TVZ imeanza mwaka 1971..
Nakumbuka Mwaka 86 ndo mzee amenunua TV nyumbani bado tukiwa zenji na ilikuwa unatumia TV za Tunning kama Radio na Zilikuwa Rangi ya Black and white..

Ya Pili ilikuwa Ni ITV mwaka 1994, Na Baadae DTV mwaka 1995 kama sikosei sana mwishoni mwa 95..

Hiyo TVT unayotaja Imeanza mwaka 1999 Tena kipindi cha Msiba wa Mwalimu Nyerere..
Na TVT imekuwa Sana Kufahamika zaidi kwakwa upande wa ajilimya Kurusha matangazo ya Mwalimu..

Na Zaidi baada ya Lile igizo la Jumba La Dhahabu l kina Tuesday Kihangala..

Hapo kwenye Hoja zako ndo umeprove kweli Wewe Ni mdogo
Vyote navijua mzee ukubwa au udogo sio ishu hatuwez kuwa sawa kila kitu lakin jua kwa upande wa sanaa ya burudan ilipoanza niliishudia mwanzon hakuna kitu utanidanganya boka na sumbi walikaa mda mfupi lakin kaz zao za sanaa zilikua kubwa kuliko dada g
 
Hapana sio kweli labda kama alilia anapewa character ndogp ndogp level ya mhogo mchungu bi mwenda hakufika uko ila alikuepo kuepo kwenye usanii kama average artis

Tessa kwenye Huba ni character kubwa.
 
Sijawadharau nimewaheshim kama alama ya tansia kina bishanga bichau pwagu na pwaguz rich na nk ndio wasanii wakubwa na wakongwe tumeiziona kaz zao ila kwa huyu milage aliyopewa na kaz aliyofanya haziendani

Fanya research kabla ya kuongea. Huyu kaanza kuigiza kuanzia 2001, kafanya kazi na wasanii wote. Sema alikuwa sio mtu wa kiki alijipreserve Sana.
 
Nikucorrect Kidogo TVZ imeanza mwaka 1971..
Nakumbuka Mwaka 86 ndo mzee amenunua TV nyumbani bado tukiwa zenji na ilikuwa unatumia TV za Tunning kama Radio na Zilikuwa Rangi ya Black and white..

Ya Pili ilikuwa Ni ITV mwaka 1994, Na Baadae DTV mwaka 1995 kama sikosei sana mwishoni mwa 95..

Hiyo TVT unayotaja Imeanza mwaka 1999 Tena kipindi cha Msiba wa Mwalimu Nyerere..
Na TVT imekuwa Sana Kufahamika zaidi kwa ajilimya Kurusha matangazo ya Mwalimu..

Na Zaidi baada ya Lile igizo la Jumba La Dhahabu l kina Tuesday Kihangala..

Hapo kwenye Hoja zako ndo umeprove kweli Wewe Ni mdogo

Huyo hajui kitu. Ingekuwa anajua tamthilia za zamani asingeshindwa kumfahamu huyo legend.
 
Back
Top Bottom