appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,262
- 2,184
- Thread starter
- #121
Sawa katika majina haya lipi ni jina dogo kwa umaarufuBhasi hufuatilii tu mkuu na yeye hakutokea kaole au kikundi kingine kikubwa katika ile golden era ya tamthilia. Yeye alianza ITV kipindi tamthilia zinaishia lakini kutokana na kipaji aliweza kupata roles nyingi sana toka enzi za films za ray na kanumba. Kwa hiyo kwa harakaharaka ana miaka zaidi ya 15 pasipo kutoka katika macho ya watu
Yeah kipindi cha mwanzo aliitwa mama kawele Ila baadae hakuwa na jina la kisanaa kubwa Ila watu wanahuzunika kwa sababu wanamjua ikiwemo mimi
Kanumba
Jot
Mpoki
Mzee majuto
Mhogo mchungu
Grace mapunda