Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

watu mna vichwa vya kutunza kumbukumbu. mimi bichwa langu kb. halina memory kabisa. mkitaja kama hivi nami ndio nakumbuka.
 
Kama kwenu mlichelewa kumiliki televisheni sio rahisi kumjua huyu.

Hasa wale wa vijijini hawawafahamu wasanii wengi sana wa maigizo, hata wa muziki wanawajua wale maarufu sana tu.

Mleta uzi zaidi ya Ray(Vicent kigosi) sijui kama kuna msanii mwingine wa maigizo anamfahamu.
 
Kwenye msiba wa Membe wakati wanasoma historia yake walitaja kuhusu kuajiriwa na Idara na ni wazi kabisa Membe hakuwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara.
 
Sio weww wengi tu lakin kuna mijitu inasema alikua msanii mkubwa sanaaa tanzania level ya kanumba
Watu wanaoigiza kwenye nafasi za watu wazima ni ngumu kupata umaarufu mkubwa kwa sababu ni ngumu kwao kuwa casted kama main character sababu story nyingi huwafanya supporting actors

Ukiangalia mfano saloon ya mama kimbo ilimpa umaarufu mama kimbo kwa sababu alikuwa main character

Kwa hiyo Grace hakuwa level za kanumba kwa fame Ila kwa uwezo wa kufit roles zake, sidhani kama kanumba anamfikia.. Hivyo usishangae watu wanashtuka, katika waigizaji watu wazima huwezi weka top 5 jina lake likakosekana. She is a legend bro
 
Oya dogo niamkie😎😄
 
How come hata jina hana yaan jina la kumtambulisha kama wenzako wote hata kwa jina lake mpaka uulizie uelekezwe
 
How come hata jina hana yaan jina la kumtambulisha kama wenzako wote hata kwa jina lake mpaka uulizie uelekezwe
Bhasi hufuatilii tu mkuu na yeye hakutokea kaole au kikundi kingine kikubwa katika ile golden era ya tamthilia. Yeye alianza ITV kipindi tamthilia zinaishia lakini kutokana na kipaji aliweza kupata roles nyingi sana toka enzi za films za ray na kanumba. Kwa hiyo kwa harakaharaka ana miaka zaidi ya 15 pasipo kutoka katika macho ya watu

Yeah kipindi cha mwanzo aliitwa mama kawele Ila baadae hakuwa na jina la kisanaa kubwa Ila watu wanahuzunika kwa sababu wanamjua ikiwemo mimi
 
Mimi nimeanza kumuona tangu nikiwa mdogo kwenye film ya fake smile aliyo cheza na Kanumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…