Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Sawa katika majina haya lipi ni jina dogo kwa umaarufu
Kanumba
Jot
Mpoki
Mzee majuto

Mhogo mchungu
Grace mapunda
 
Sawa katika majina haya lipi ni jina dogo kwa umaarufu
Kanumba
Jot
Mpoki
Mzee majuto

Mhogo mchungu
Grace mapunda
Kanumba usimweke group moja na msanii yeyote wa bongo movie sababu yule ndio alikuwa kiongozi wao kuanzia influence mpaka bidii ya kazi na hata fame kwa ujumla
 
Sasa unanibishia nin ninapokuambia hana ukubwa aliopewa
Sijakubishia.. Ilikuwa ni conversation tu na kusema mtu mmoja ni mkubwa kuliko mwingine haimaanishi huyo mwingine si mkubwa pia katika namna yake kwa hiyo kuweka prominent names pasipo kuangalia point niliyoitoa ni sawa na kutafuta angle ya kutetea unachokisema.

Hata hivyo, Good morning mkuu
 
NAmfaham kama msanii wa kawaida hajafika level ya king majuto kanumba ray johar gabo na mainda mai dota na nk levo yake ni kina love wa jua kali nyama yao coletha na nk
Asee ukapimwe mkojo humjui vizur tessa wew
 
Naungana na mtoa mada hata mimi imenichukua muda kukumbuka nimemuona wapi,sanasana nilichanganya na Wasanii wa injili,,ni tofauti kabisa na namna msiba wake ulivyobebwa.Hawa wanaojaribu kutetea mnaleta utapeli tu.Mimi leo nitamkumbuka kea urahisi Nina,Sita,Nora,Johari,Mainda n.k. Hivyo swali la mota mada lina mashiko msilete blah blah.
 
Mbali na sababu zozote ziwavyo, kwa ukubwa huo ulio uona ndio ukubwa wake na ni mtu wa watu, tuishie hapo
 
Alikuwa mpenzi wangu mara nyingi alikuja hata kwangu na watu weng hil hamlifaham,, et na hawa watoto ntawasomesha mm,, KWELI SHIGONGO WE DARASA LA 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…