Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Aisee mkuu umenikumbusha mbali sana huyu jamaa hata wakina Siyawezi hawajui
Nimezaliwa na kuish kabla ya tv hazijaanza tv ya kwanza ilikua tvt na tvz
Ameanza kuigiza tangu miaka ya 90, ila zaidi amefahamika mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati ambapo kituo cha habari za ITV kuanza kurusha tamthiliya zao.

Alikuwa anajua kubeba uhusika kwenye maigizo yake.

She will real be missed 😭
Ni kweli sijakataa lakin sio kwa ukubwa huo aliupata kwenye msiba wake kuna nini nyuma ya pazia maana kapata treatment kama kanumba mpaka rais wa nch anamlilia
Kama TV umeanza kuangalia 2016 ni kweli Grace Mapunda siyo maarufu
Hapana nilianza mwaka 1990 enz za nba itv maiko jordan miziki ya rkelly tamthilia za ua jekundu tausi
 
Nimezaliwa na kuish kabla ya tv hazijaanza tv ya kwanza ilikua tvt na tvz
Nikucorrect Kidogo TVZ imeanza mwaka 1971..
Nakumbuka Mwaka 86 ndo mzee amenunua TV nyumbani bado tukiwa zenji na ilikuwa unatumia TV za Tunning kama Radio na Zilikuwa Rangi ya Black and white..

Ya Pili ilikuwa Ni ITV mwaka 1994, Na Baadae DTV mwaka 1995 kama sikosei sana mwishoni mwa 95..

Hiyo TVT unayotaja Imeanza mwaka 1999 Tena kipindi cha Msiba wa Mwalimu Nyerere..
Na TVT imekuwa Sana Kufahamika zaidi kwa ajilimya Kurusha matangazo ya Mwalimu..

Na Zaidi baada ya Lile igizo la Jumba La Dhahabu l kina Tuesday Kihangala..

Hapo kwenye Hoja zako ndo umeprove kweli Wewe Ni mdogo
 
Hahaha Hawezi kuwajua yeye anamjua Kanumba ambaye pia na yeye huenda Amemkuta yeye akiwa mdogo Tukienda kwa Kina Mashaka..
Au Kina Tina Na Mjuba kwenye Tausi
Kanumba kaingia jijini mwaka 2003 na alifika Magomeni AICT Kanisani alikuwa ni Mpiga kinanda na Mwalimu wa Kwaya na kipindi kile alikuwa anatafuta mfadhili ili aendelee kusoma form 5 na 6. Pale Magomeni alikosa Mfadhili akaenda AIC Chang'ombe akajiunga na Kwaya ya CVC hapo ndipo alipokutana na Hosea Kashimba (Director wa PSSF) na Kulaba (former TCRA Director)
 
Sasa Atajua wapi huyo alikuwa ndo anazaliwa au ndo ana miaka mitatu
 
Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa

Msanii Grace Mapunda ni msanii mkongwe asiejulikana yaani kitaalam tunaita famous unkown lakin msiba wake umekuwa mkubwa kama wa msanii mkubwa Tanzania.

Pia, soma: TANZIA - Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

Mara ya kwanza naiona picha yake nikajiuliza nani huyu baada ya kuvuta picha ikaja picha yake.

Je, naye alikua anavaa suti nyeusi kwa siri kama mtangazaji wa Wasafi Mau Kikanga.

Maana wamekufa wasanii wengi lakini hakuna aliepewa nguvu kubwa na masikitiko mengi kama huyu

Pia soma: Chalamila ahimiza mfuko wa kwa ajili ya wasanii wa maigizo, Ofisi yake kutoa milioni 15
Inategemea alikuwa anaroll na akina nani. Bongo movie uzito wa msiba unategemea wewe ni nani na ulikuwa unazunguka na akina nani. Yeye ni team huba.
 
Binafsi sijapata kumskiia wala kumuona popote kabla ya habari ya kifo chake
 
Sote tunafaham ni Muigizaji (Msanii) lakini sio big fish kama Kanumba katika sanaa ya maigizo. Samata katika sanaa ya mpira. Diamond katika sanaa ya mziki. Mbowe katika siasa

Msanii Grace Mapunda ni msanii mkongwe asiejulikana yaani kitaalam tunaita famous unkown lakin msiba wake umekuwa mkubwa kama wa msanii mkubwa Tanzania.

Pia, soma: TANZIA - Muigizaji Grace Mapunda (Tessa) amefariki dunia

Mara ya kwanza naiona picha yake nikajiuliza nani huyu baada ya kuvuta picha ikaja picha yake.

Je, naye alikua anavaa suti nyeusi kwa siri kama mtangazaji wa Wasafi Mau Kikanga.

Maana wamekufa wasanii wengi lakini hakuna aliepewa nguvu kubwa na masikitiko mengi kama huyu

Pia soma: Chalamila ahimiza mfuko wa kwa ajili ya wasanii wa maigizo, Ofisi yake kutoa milioni 15
Ww mtoto wa 2000 ndo unamjua juzi huyo mkongwe kwenye game
 
35 mkubwa kabisa unafaa kuyajua Yote hayo maana 2000 ulikuwa Una miaka kumi na kitu Ambayo Kwa Wazungu Unaruhusiwa Kudate kabisa
TV Mshua aliileta mwaka mwaka 1996 nilikuwa std 2 na cassette za kwanza kuja nazo ni Sheena, Neria, Suicide mission, Striker Commando, Coming from America na nyingine za Idd Amin 😄😄😄
 
Em
Anajulikana sana mzee labda wewe kwako hakua maarufu binafsi mimi nimeanza kumuona enzi hizo nikiwa mtoto miaka ya 2000s tulikua tunamuangalia kupitia ITV kila jumamosi saa 3 usiku, walikua wanaigiza na mzee mmoja anajiita Masinde, alikua anapendwa sana.
Enzi za game first quality alitamba sana huyu mama. Kuna kipindi alikuwa na kampuni ya usafi maeneo flani hivi namjua sana huyu mama
 
Yaani We Una Uwezo wa Kumdharau Muhogo mchungu Kweli au Bi mwenda au Kina Bi Chau..
Basi kweli nimeamini Nabishana na Mtoto..

Unafahamu hata Mikanda ya Kina Mzee Small na kina Mzee Pwagu??
Duh Bhasi fanya uchimbe sana kuhusu Historia Yako ya Bongo Movies na Mziki..

Mwisho wa Siku utakuja Niambia Single Mtambalike au Jacob Steven (JB) Ni wasanii wa Juzi
Umemaliza doktori,msamehe bure
 
Ukiona hivo ujue watu walimkubali sana kimoyo moyo.
Kuna mtu anaweza kukukubali na asukupayukie kwamba anakukubali. Na watu kama hawa mara nyingi huwa ndio ni wa muhimu sana katika maisha yetu. Mtu wa namna hii unaweza kumuomba msaada akakusaidia, tofauti na yule anayepayuka na kukuonesha kuwa anakukubali.

Bila shaka huyu mama ndicho alichokuwa nacho.
Msiba wake umenigusa sana sikuwa najua nimejua jana nimeumia ase duh huyu ndio alikuwa ananifanya niiangalie huba wakiwa wanabishana na kibibi duh

Marehemu wote wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa amani
 
Yaani We Una Uwezo wa Kumdharau Muhogo mchungu Kweli au Bi mwenda au Kina Bi Chau..
Basi kweli nimeamini Nabishana na Mtoto..

Unafahamu hata Mikanda ya Kina Mzee Small na kina Mzee Pwagu??
Duh Bhasi fanya uchimbe sana kuhusu Historia Yako ya Bongo Movies na Mziki..

Mwisho wa Siku utakuja Niambia Single Mtambalike au Jacob Steven (JB) Ni wasanii wa Juzi
Haijui bongo muve muulize kama anaijua ata mrembo kikojozi
 
Alikuwa na nyumba nzuri na hakuwa sehemu za mbali wala za watu wa chini. Hivyo wasanii hawakumtenga kujifanya wanamjua na walijiona hawaharibu brand.

Pembe kafariki hukuona hao wasanii wakienda namna ile msibani, hukuona akitrend na mastaa wengi wakiwa na makeup na kujirekodi. Kwa sababu zao wanajua kwanini hawakujihusisha nae kivile.
 
Back
Top Bottom