Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
 
Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu ndungai usije shangaa mpaka samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
tutaona
 
Nasubiria Kizimkazi itoe salamu za rambi rambi
 
Kafa mwenyewe mwenyewe au kasababishiwa
Itakuwa mwenyewe mwenyewe Tu! Ila sema Kwa sababu wabongo tunapenda umbea watu watatembea na upepo wa hiki kifo!
Kipindi ameenda India kigogo alitoa wasifu wa afya ya muheshimiwa na ikasemekana amekatwa vidole vyote miguuni.....Sukari mbaya sana.
 
Hahaha watakuja wamevaa miwani myeusi na suti nyeusi utadhani nao wana uzunishwa na msiba.
 
Polepole anaongea saa ngapi wakuu 😹
 
Back
Top Bottom