Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.