‘Be careful what you wish for’
Mlitumika kusambaza propaganda na narratives za wahuni Magufuli dictator na kuzimeza haya ndio malipo ya karma.
Magufuli alikuwa anamuogopa mungu na hakuwa dictator; labda useme alikuwa mkali.
Sasa mungu hadhiakiwi, anawapa udikteta ambao mlikuwa mnahusikia tu hamjui unafananaje.
Kila siku Magufuli alikuwa anasema ‘hamjui ugumu wa vita yangu ndani ya serikali, kuna watu wako tayari kuharibu’. Kila wasaaa kutukumbusha sio kazi rahisi ni kama ya kujitolea kuwatumikia watanzania hasa maskini.
Haya sasa leo nchi imeshikwa na wale ambao walikuwa wanatengeneza hizo propaganda na wenye tamaa.
“You reap what you sow, in life”, only heaven intervention can help Tanzania going forward.
Acheni huu upuuzi wa kuwa pump vijana kuingia mtaani na kwenda kuuliwa senseless; hawa watu wameonyesha hawathamini maisha. Ingekuwa rahisi hivyo kuyatoa madikteta ‘Venezuela’ wangeshamtoa Maduro ambae attempt mpaka sasa zinaweza fika 10, na nyingi ni US backed.
Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.
Kilichobaki ni wenye silaha kupambana sio raia tena.