Hii ni ukweli usiopingika, huyu jamaa aliyesababishwa na Kikwete ndiye kasababisha yote hayo. Ncni yetu imekuwa ya avyo sana.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
Uki sahihi mno, hapa tulipo chini ya mama wa damu ni tulipoanguakia. Lakini tulijikwaa wakati wa Magufuli.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
Yule Mwendazake alikuwa SIO!Utawala wa magufuli aliondoa kabisa uwizi wa kura akareplace uizi wa mchakato rejea uchaguzi wa 2020 na huu wa 2025 vituo vilikua havina watu pia kura nyingi ziliharibiwa lakini wakaja na matokeo yao nje ya karatasi zilizopigwa
Unaogopa sababu unalinda maisha yako ambayo watawala wanaweza kuondoka muda wowote waka kuacha wewe.We ungekuwa japani ni moja ya kinyesi kikubwa cha chooni na nikikupa jina takataka litakuwa dogo,yani uwezi kujua makosa mbeleni unataka kuziba nyufa kwa funika kombe kinyeo kipate kupumua‘Be careful what you wish for’
Mlitumika kusambaza propaganda na narratives za wahuni Magufuli dictator na kuzimeza haya ndio malipo ya karma.
Magufuli alikuwa anamuogopa mungu na hakuwa dictator; labda useme alikuwa mkali.
Sasa mungu hadhiakiwi, anawapa udikteta ambao mlikuwa mnahusikia tu hamjui unafananaje.
Kila siku Magufuli alikuwa anasema ‘hamjui ugumu wa vita yangu ndani ya serikali, kuna watu wako tayari kuharibu’. Kila wasaaa kutukumbusha sio kazi rahisi ni kama ya kujitolea kuwatumikia watanzania hasa maskini.
Haya sasa leo nchi imeshikwa na wale ambao walikuwa wanatengeneza hizo propaganda na wenye tamaa.
“You reap what you sow, in life”, only heaven intervention can help Tanzania going forward.
Acheni huu upuuzi wa kuwa pump vijana kuingia mtaani na kwenda kuuliwa senseless; hawa watu wameonyesha hawathamini maisha. Ingekuwa rahisi hivyo kuyatoa madikteta ‘Venezuela’ wangeshamtoa Maduro ambae attempt mpaka sasa zinaweza fika 10, na nyingi ni US backed.
Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.
Kilichobaki ni wenye silaha kupambana sio raia tena.
kuna vichwa tikiti maji ni vigumu kuelewa.Mfano sudani bashiri alitengeza kundi RSF sasa lina nguvu kuliko serikali ya sudani na siku tanzania ili kundi wasiojulikana lishavuza steji ya polisi.Jamaa alikua na mipango ya kutawala maisha kama museven na kagame. Walikuwa wapo kwenye process ya kupeleka uchaguzi kila baada miaka 7 na pamoja na kuondoa ukomo wa mgombea.
Yeye ndie aliewafanya CCM hadi leo waone kuwa wanaweza fanya lolote na isiwe lolote.
Weka picha yako kama uogopi, anzia hapo sio kuandika ujinga.Unaogopa sababu unalinda maisha yako ambayo watawala wanaweza kuondoka muda wowote waka kuacha wewe.We ungekuwa japani ni moja ya kinyesi kikubwa cha chooni na nikikupa jina takataka litakuwa dogo,yani uwezi kujua makosa mbeleni unataka kuziba nyufa kwa funika kombe kinyeo kipate kupumua
Sudan gani unayoongelea wewe kichaa huyo Bashir yuko wapi.kuna vichwa tikiti maji ni vigumu kuelewa.Mfano sudani bashiri alitengeza kundi RSF sasa lina nguvu kuliko serikali ya sudani na siku tanzania ili kundi wasiojulikana lishavuza steji ya polisi.
Ndio sampuli ya mataahira mnaotaka watoto wa watu wakapoteze maisha.sudani ya chupi ya mama yako
Ni wewe moja wapo ila siku nchi ikifika na wewe taila wa ccm utaunga mkono.Ndio sampuli ya mataahira mnaotaka watoto wa watu wakapoteze maisha.
Unadhani real ni kama ukuma uliokujaa kichwani.
Wewe unadai uogopi weka picha yako wakuone, halafu tukupe week kama utainekana humu.
Acheni kudanganya watoto wa watu vita ambayo hawawezi shinda.
Taila=taahiraNi wewe moja wapo ila siku nchi ikifika na wewe taila wa ccm utaunga mkono.
Sasa ach acha tuvune tulichopandaMagufuli alikosea sana kwenye udikteta
Mkuu umeandika kwa uchungu sana. Naamini Mungu yupo na huwa hadhihakiwi, kuna watu hasa wafia vyama wao wanaamini kiongozi mzuri ni yule atayetoka kwenye chama chao, kuna watu wanaoamini kiongozi mzuri ni yule atakayewatumikia wananchi na kuyagusa maisha yao moja kwa moja haijalishi chama chake itikadi yake, rangi yake wala asili yake.‘Be careful what you wish for’