Ukweli mchungu.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa magufuri ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa.Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa,alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
Na ikawa mwanzo wa kuua upinzani kwakutumia fimbo ya kutokidhi vigezo vya kushiriki uchaguzi, n.k mwisho wa siku tukaanza kupata viongozi wa CCM tupu ambao wengi ni vilaza.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa.Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa,alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
Ungekuwa umesoma teknolojia unaposema "bora kuwa ditekta" una maanisha sawa yani hata kama kuna kasoro bora ziendelee na mwisho wa siku zikifanya vibaya usilalamike.Bora kuwa na dikteta anayeleta maendeleo kuliko kuwa na MAFISADI MPECHEMPECHE yanayoitafuna nchi bila mikakati maalumu.
So yes, kama kuiteka mahakama na bunge ilifaa kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya nchi, NAUNGA MKONO HOJA. Ni jambo jema sana.
Udikteta wa faida. Tena angewacharaza viboko haswaaa.
Angekuwepo ningemshauri akaze uzi zaidi ayabinye majizi kweli kweli huku tukiendelea kufaidi maendeleo.
Leo tumebaki kama manyumbu tunapigwa tu mikwara na chalamila kama katuzaa yeye. Jinga sana.
Umewagusa wazee wa legasi.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
....tunapigwa tu mikwara na chalamila kama katuzaa yeye. Jinga sana.
Acha usenge,unatumia mbinu ya kipuuzi kumtetea huyu bibi yako nyamititi muuaji mkubwa,**** ya mama yakoUnajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
kwani msingi wa nyumba unaanza kwenye kuwezeka au msingi unaanza kwenye ardhiMtoa mada hujafkria vizur na mizani yako inashida
Nchi atumbue kikwetu na rafk zake lawama unampa magufuli
Kisa aligoma watu wasile keki ya taifa kzembe
Mbowe alikuwa mpinzani au mnufaika kwa jina la mpinzani?
So unahs magufuli ndo alimfindisha bibi enu uongozikwani msingi wa nyumba unaanza kwenye kuwezeka au msingi unaanza kwenye ardhi
NakaziaUnajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.