Ni kweli Mbowe hakuwa mpinzani. Sasa jiwe kwann hakujenga mifumo ya kidemokrasia. Na hakutaka kabisa kubadilisha katiba.Mtoa mada hujafkria vizur na mizani yako inashida
Nchi atumbue kikwetu na rafk zake lawama unampa magufuli
Kisa aligoma watu wasile keki ya taifa kzembe
Mbowe alikuwa mpinzani au mnufaika kwa jina la mpinzani?
Wengi wanatumika, kulipwa kumtetea Samia kwa mgongo wa JPM.‘Be careful what you wish for’
Mlitumika kusambaza propaganda na narratives za wahuni Magufuli dictator na kuzimeza haya ndio malipo ya karma.
Magufuli alikuwa anamuogopa mungu na hakuwa dictator; labda useme alikuwa mkali.
Sasa mungu hadhiakiwi, anawapa udikteta ambao mlikuwa mnahusikia tu hamjui unafananaje.
Kila siku Magufuli alikuwa anasema ‘hamjui ugumu wa vita yangu ndani ya serikali, kuna watu wako tayari kuharibu’. Kila wasaaa kutukumbusha sio kazi rahisi ni kama ya kujitolea kuwatumikia watanzania hasa maskini.
Haya sasa leo nchi imeshikwa na wale ambao walikuwa wanatengeneza hizo propaganda na wenye tamaa.
“You reap what you sow, in life”, only heaven intervention can help Tanzania going forward.
Acheni huu upuuzi wa kuwa pump vijana kuingia mtaani na kwenda kuuliwa senseless; hawa watu wameonyesha hawathamini maisha. Ingekuwa rahisi hivyo kuyatoa madikteta ‘Venezuela’ wangeshamtoa Maduro ambae attempt mpaka sasa zinaweza fika 10, na nyingi ni US backed.
Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.
Kilichobaki ni wenye silaha kupambana sio raia tena.
Hakuna udikteta wa faida duniani wala dikteta mwema.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
Mnatumika kumsadia Samia. Kwa kuondoa focus kwa maovu yote ya Samia.Unajua kuna watu duniani naweza kuwafananisha na kiungo kinachopendwa sana kwenye chakula kitamu japo kina mateso na kukuacha na vidonda vya tumbo mda mwengine ni pilipili.
Utawala wa Magufuli ndio ulianza kutengeza mifumo ya uditekta wazi au tuseme njia rasmi ambayo ilikuwa hata angekuwa yupo hai leo ingekuwa mikubwa sana na kuwa mfalme kabisa. Uwezi kiniambia hata kijiti alichopokea samuya kuwa bunge lilikuwa sio chawa.
Mahakama,vyombo vya ulinzi,usalama,idara za serikali zote ziliwekwa mikononi mwa raisi na yeye ndio alikuwa anaweza kufanya chochote bila kuguswa, alipopata samuya naye kafanya hivo hivo.
Hii ni comment bora katika uzi huu I wish kila mwana JF aisome‘Be careful what you wish for’
Mlitumika kusambaza propaganda na narratives za wahuni Magufuli dictator na kuzimeza haya ndio malipo ya karma.
Magufuli alikuwa anamuogopa mungu na hakuwa dictator; labda useme alikuwa mkali.
Sasa mungu hadhiakiwi, anawapa udikteta ambao mlikuwa mnahusikia tu hamjui unafananaje.
Kila siku Magufuli alikuwa anasema ‘hamjui ugumu wa vita yangu ndani ya serikali, kuna watu wako tayari kuharibu’. Kila wasaaa kutukumbusha sio kazi rahisi ni kama ya kujitolea kuwatumikia watanzania hasa maskini.
Haya sasa leo nchi imeshikwa na wale ambao walikuwa wanatengeneza hizo propaganda na wenye tamaa.
“You reap what you sow, in life”, only heaven intervention can help Tanzania going forward.
Acheni huu upuuzi wa kuwa pump vijana kuingia mtaani na kwenda kuuliwa senseless; hawa watu wameonyesha hawathamini maisha. Ingekuwa rahisi hivyo kuyatoa madikteta ‘Venezuela’ wangeshamtoa Maduro ambae attempt mpaka sasa zinaweza fika 10, na nyingi ni US backed.
Achaneni na hayo maandamano ya 9/12 hayatazaa lolote zaidi ya miili ya watoto wasioelewa ugumu wa situation wanayotaka kupambana nayo.
Kilichobaki ni wenye silaha kupambana sio raia tena.
Mkuu wewe unaitumia akili yako vizuri sio wale fata upepoAcha usenge,unatumia mbinu ya kipuuzi kumtetea huyu bibi yako nyamititi muuaji mkubwa,**** ya mama yako
Aisee! Unanifanya kujiuliza hiyo ccm kabla ya Magufuli ilikuaje hadi yeye ndio aje kuibadilisha hivyo?Jamaa alikua na mipango ya kutawala maisha kama Museveni na Kagame. Walikuwa wapo kwenye process ya kupeleka uchaguzi kila baada miaka 7 na pamoja na kuondoa ukomo wa mgombea.
Yeye ndie aliewafanya CCM hadi leo waone kuwa wanaweza fanya lolote na isiwe lolote.
Aisee! Unanifanya kujiuliza hiyo ccm kabla ya Magufuli ilikuaje hadi yeye ndio aje kuibadilisha hivyo?