Ni magonjwa ya akiliHii kitu ni Ngumu sana.
Hawa wanandoa ni watu wasiokiwa na Njaa sana.
Sijui ni shetani.
Sijui hakuna upendo.
Sijui tamaa za mali.
Sijui Ubinafsi.
Sijui waamerogwa.
INASIKITISHA SANA.
Ahaa wapi ingekuwa yeye ndio ana mchango mkubwa kwenye hiyo nyumba asingekubali tokaa mwanzo hati ya kiwanja iwe kwa jina la mwanaume.unawajua wanawake wa kiafrika ww.Wewe unadhani mwanamke anaweza kukurupuka tu kudai jina leke linandikwe kwenye hati ? Hilo ni jambo lisilowesekana asilani ,, mwanaume jipange jenga kisha oa uone kama mwanmke atataka jina lake liwekwe kwenye hati ya nyumba uliyojenga wewe ,, labda ingekuwa mwanamke jambazi amuue jamaa ili abaki na mali. Lakini kwa huyo dada mpaka kufikiria kutafuta mwana sheria na kutaka jina lake liwekwe kwenye hati 70% huenda hiyo ni mali yake kweli na jamaa akaona hataki kupoteza.
Sasa kwenye maelezo polisi wangeandika nini?Hata ukweli hauutaki?Aaaaargh...acha uonezi.1. Huyu Laurent na marehemu hawawezi kuwa wana ndoa. Haiwezekani kufunga ndoa na marehemu.
2. Kuna umuhimu gani kueleza wote wametoka kilimanjaro?
Duh,hatari sana.....Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi.
Tukio hilo linadaiwa kutokea Alhamisi, Oktoba 1, 2026, majira ya saa 11:30 alfajiri ndani ya nyumba ya wanandoa hao. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa anashikiliwa kwa ajili ya upelelezi.
Kwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya uchunguzi na taratibu za kisheria kukamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo, Rebecca Mbasha, ambaye amefanya kazi nyumbani hapo kwa miaka minane, amesema mauaji hayo yanadaiwa kufuatia mgogoro wa muda mrefu wa kifamilia kuhusu umiliki wa nyumba.
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani.
Kwa upande wake, Jacqueline Nkaya, ambaye ni mama mdogo wa marehemu, amesema wanandoa hao walikuwa na mgogoro wa muda mrefu na wakati mmoja Jeni aliwahi kutishiwa kuuawa kwa bastola na mumewe, jambo aliloliripoti Polisi.
Amesema Laurent aliondoka na kwenda Kilimanjaro ambako alikaa takribani miezi miwili kabla ya kurejea Dar es Salaam siku ya tukio.
Majirani wamesema hawakuwa na taarifa za migogoro hiyo, wakieleza kuwa familia hiyo ilikuwa ikionekana kuishi kwa amani tangu ilipohamia katika nyumba hiyo Desemba 2025.
Marehemu ameacha watoto wanne, watatu wakiwa shuleni na mmoja bado hajaanza shule.
Chanzo : Global
Vijana tuache kulazimisha mambo tufanye kazi tusing'ang'anie mali za wanawake
Wasitufanye mazuzu, wanawake wengi hupenda kuwa mama mwenye nyumba!! Hakuna mwanaume atafikia hatua ya kuua kama jasho lake halijatumika la kutosha, mjenge wote then uje uvimbe kubadilisha majina ya umiliki. Mbona wakijenga wanaume ilihali mpo kwenye ndoa ni mali ya familia? Waseme kama waliijenga wakiwa wameshaachana yaani wameshavunja ndoa kiserikali.Alinunua kiwanja halafu kikawa na majina gani kabla ya hapo mbona haisemwi? Kila sehemu unakuta ooh alitaka kubadili majina yasome lake na watoto, je kabla ya hapo majina gani yalikua kwenye hati? Nani alipendekeza majina ya awali na kwanini leo ndio akumbuke kubadili majina? Msukumo wa kubadili majina ulitokana na nini? Kwanini wkati ananunua hakuwa na msukumo huo? Andikeni uchambuzi kamili sio hizi kanjanja na takataka mnatuletea.
Okay kwahiyo wanaouwana kwenye ndoa ni wachagga tu sio?Anamaanisha,ninyi Chaganzz kwenye mali hamlinganishwi hata na shaitwan bin jinii!
Matukio ya namna hiyo hadi kufanyika tatizo huwa ni mwanamke,na hapo chanzo mara nyingi huwa ni usaliti kutoka kwa mwanamke badaye inapelekea migogoro.Hii kitu ni Ngumu sana.
Hawa wanandoa ni watu wasiokiwa na Njaa sana.
Sijui ni shetani.
Sijui hakuna upendo.
Sijui tamaa za mali.
Sijui Ubinafsi.
Sijui waamerogwa.
INASIKITISHA SANA.
Mimi nafikiri watuhumiwa wa mauaji kama haya wawe wanapewa nafasi ya kusimulia upande wao na stori hizo ziwekwe public. Kuna mambo mengi yanakua yanaendelea hadi mtu kuchukua hatua nzito kama ya kuua. Kuendelea kufanya mambo haya ni siri ya wapelelezi tunakosea sana.Wasitufanye mazuzu, wanawake wengi hupenda kuwa mama mwenye nyumba!! Hakuna mwanaume atafikia hatua ya kuua kama jasho lake halijatumika la kutosha, mjenge wote then uje uvimbe kubadilisha majina ya umiliki. Mbona wakijenga wanaume ilihali mpo kwenye ndoa ni mali ya familia? Waseme kama waliijenga wakiwa wameshaachana yaani wameshavunja ndoa kiserikali.
Ni ninyi tu.Uliwahi kusikia wapi mke wa mtu aitwaye "Mkegani" ,mzaramo anagombea mali?Au akina Chiza wa Kigoma,Kumshindwi wanagombea nyumba? Most cases ni ninyi akina arawa.Hebu badilikeni aisee!Okay kwahiyo wanaouwana kwenye ndoa ni wachagga tu sio?
Ameacha watoto bila msingi wa familia na kuharibu maisha yao kwa sababu ya mali.Kakosa vyote sasa kwa hasira zake bila kutumia akili. Kakosa mke, kakosa kulea watoto wake, kakosa nyumba. Anaishia nyuma ya nondo maisha yake yote.
Bora hata angefanya umafia mwingine, ila kuua namna hiyo. Stori yake imesishia hapo. Hapo kesi itamalizika miaka miwili au mitatu, na jamaa atakula kitanzi au maisha jela.
Hii issue juzi nimetoka kumwambia rafiki yangu,haya majumba na mali tunazoziona wanaohangaika kuzitafuta ni wanaume lakini mwisho wa siku wanao baki nazo ni wanawake.Kwani mpaka Leo hii wanawake hawajui kama Mali hizi tunatafuta kwa ajili Yao na watoto!? Wanaume tunakufa mapema wanawake vumilieni kidogo mana nyie wenyewe ndio warithi wenyewe. Mna hofu Gani!?
Ndivyo haswa inavyotakiwa kuwa. Lakini siyo mara zote inakuwa hivyo. Ukiona hivyo basi ujue tayari kulikuwa na ugomvi na kutoelewana kwenye ndoa.Pole kwa msiba.
SI walifunga ndoa ? , mkifunga ndoa mnakua mwili mmoja hayo mambo ya kiwanja cha mke nyumba ya mume yanatoka wapi?
Ukishaoa,kila kitu "otomatikale" kinakuwa cha mwanamke.Hadi moyo.Kuwa makini.
Wapuuzi kibao wana silaha. Wewe huijui hii nchi?swali la kujiuliza kama jamaa alikuwa kapuku aliwezaje kumiliki silaha? alipewa kwa vigezo gani na ili kulinda nini kama hakuwa na mzigo $ wa kulinda? do
Uwenda mwanamke alisha hisi taraka, akaona apambanie mali mapema kabla hilo halijatokea.Ndivyo haswa inavyotakiwa kuwa. Lakini siyo mara zote inakuwa hivyo. Ukiona hivyo basi ujue tayari kulikuwa na ugomvi na kutoelewana kwenye ndoa.