Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Kamuua alafu kajisalimisha? Basi mwamba hakua mtu mbaya, ila Kuna muda ukiona kelele ndani Bora acha mali jiondokee
Majority ya wanawake hutaka umiliki wa mali za kwenye ndoa kwa 100% na kama mwanaume akiwa makini tokea siku za uchumba au mwanzoni mwa baada ya kufunga ndoa atalijua hili. Baada ya kujua hili mwanaume akiwa na hekima atajua namna ya kunavigate. Mwanamke anaamini kuwa wa kwanza kufa ni mume na hivyo bora achukue umiliki 100% mapema ili aenjoy yeye na watoto na mwanaume mwingine atakayeishi naye baada ya baba watoto kuwa ashakufa. Bahati mbaya wanaume wengi hujua ukweli huu wakiwa wamechelewa sana na hujikuta wanachukua maamuzi kwa hasira, hamaki, na matokeo ndiyo hayo ya kuua mtu. By the way kuna habari kuwa marehemu ameacha madeni na hata basi amekopea kwa kutumia dhamana ya asset za watu wengine. Yaan kwa kifupi ile ndoa iliyoonekana ina amani mafaninikio na mfano wa kuigwa ndiyo sasa ndiyo mambo yanaanza kuvuja.
 
Ni fala, ameua kwa kukusudia. Hapo anakula kitanzi, uchunguzi ni miaka mitatu au minne. 😊

Watoto watalelewa na babu, bibi au shangazi au vyovyote. Watakosa baba na mama na mali hiyo pia wataikosa.

Hapo kuna watu wanapanga mipango namna ya kunufaika na hiyo nyumba au kuichukua kabisa.
Na kama anajiweza au mpambanaji angepata nyumba nyingine bora kuliko hio.
 
Ni fala, ameua kwa kukusudia. Hapo anakula kitanzi, uchunguzi ni miaka mitatu au minne. 😊

Watoto watalelewa na babu, bibi au shangazi au vyovyote. Watakosa baba na mama na mali hiyo pia wataikosa.

Hapo kuna watu wanapanga mipango namna ya kunufaika na hiyo nyumba au kuichukua kabisa.
Inabidi akutane na matokeo ya kosa lake la kukusudia.

Kama ni kweli aliwahi kusema "ipo siku ntakupiga risasi" basi ni mauaji ambayo aliyapanga.

Sioni ubaya wa jamaa kunyongwa au kifungo cha maisha.
 
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Mke wake ametokea Kilimanjaro ( Angemalizia kabisa kwa kusema ni .. Mchaga)

Pamoja na kwamba sitaki kuhukumu, Maisha ya ndoa yana changamoto sana
Mnaweza kuingia kwenye Ndoa mtu anakulazimisha mjenge kwenye kiwanja chake, kumbe yeye ana agenda ya siri...
 
Majority ya wanawake hutaka umiliki wa mali za kwenye ndoa kwa 100% na kama mwanaume akiwa makini tokea siku za uchumba au mwanzoni mwa baada ya kufunga ndoa atalijua hili. Baada ya kujua hili mwanaume akiwa na hekima atajua namna ya kunavigate. Mwanamke anaamini kuwa wa kwanza kufa ni mume na hivyo bora achukue umiliki 100% mapema ili aenjoy yeye na watoto na mwanaume mwingine atakayeishi naye baada ya baba watoto kuwa ashakufa. Bahati mbaya wanaume wengi hujua ukweli huu wakiwa wamechelewa sana na hujikuta wanachukua maamuzi kwa hasira, hamaki, na matokeo ndiyo hayo ya kuua mtu. By the way kuna habari kuwa marehemu ameacha madeni na hata basi amekopea kwa kutumia dhamana ya asset za watu wengine. Yaan kwa kifupi ile ndoa iliyoonekana ina amani mafaninikio na mfano wa kuigwa ndiyo sasa ndiyo mambo yanaanza kuvuja.
Rudia kusoma habari mkuu tuliza akili
 
Na pia huenda mwanamke alikuwa na genuine reason ya kutaka kuandikisha kwa jina lake. N vizuri sana kujua walivyokutana, walikuwa na nini, walichangia namna gani kwenye maendeleo yao na kilichowagombanisha ni nini.
Manamake ya kichaga huyajui,huko machame nyumba nyingi zinamilikiwa na wajane,wazee waliuawa kwa mashoka,visu mitaani,au kisukari
 
Pole kwa msiba.
SI walifunga ndoa ? , mkifunga ndoa mnakua mwili mmoja hayo mambo ya kiwanja cha mke nyumba ya mume yanatoka wapi?
Ukiona hivyo lzm kuna namna mwanaume alizingua
Alitaka kuandika jina lake na la watt shida iko wapi?
Sio mjinga huyu mke
Na ye kwann amuue kisa eti kua like jina la mama na watt?
Hapa kuna namna
Wanajuana wachaga
 
labda za magendo na jamaa kama ilikuwa ni ya magendo angesha kamatwa kwa kuwa alishawai kushtakiwa kwa tishio la kumdhuru mwanzo na iyo silaha. na vigezo vya kumiliki silaha vipo wazi hasa kwenye umiliki wa mali kuanzia kiasi fulani.

unless sijaelewa ilitaka kusema nini au unajaribu kutetea nini hasa karibu
Sitetei chochote nakwambia tu wapuuzi wengi tu wana silaha wala sio mabilionea.
 
Hio hati mwanamke asingeweza kubadili bila ruhusa yake. Angekataa tu huyo mwanamke aende mahakamani wauze wagawane.
Yes, au angeweka majina yote mawili kwenye hati. Anyway maji yameshamwagika, Jamaa alikosa mshauri mzuri halikuwa suala lenye hadhi ya mauaji.
 
Sitetei chochote nakwambia tu wapuuzi wengi tu wana silaha wala sio mabilionea.
fwatilia vigezo vya kumiliki silaha na wala siyo mpaka uwe na billions of money.ila elewa jamaa alikuwa anamiliki kihalali na alikuwa na mzigowa kiasi aliobarikiwa na Mungu. Ndo mana mpaka sasa hujaskia kuwa alikuwa akimiliki silaha kiholela.
 
Scenario haiwezi kukamilika kwa sababu tyr Shahid wa kwanza keshalala katika umauti,

Lkn tunaambiwa walikuwa wana mgogoro muda mrefu, seems hata hawajahamia hapo.....

Kwamba kuhamia desemba mwakajana tyr ni muda mrefu hata mwaka hawana,

Je mgogoro wao unaosemwa wa muda mrefu chanzo chake ni nn ??

Je kuna usuluhishi ulitafutwa kuhusu mgogoro wa wanandoa hao ??

House girl anaelezea upande wa movement za muda mfupi tungepata kusikia toka alivvyoingia aliwakuta je kina babanguuuu

Jane inaonyesha alishawahi kutishiwa kuuawa je aliripoti mahala popote kwa usalama wake ?

Mwanasheria aliyetafutwa na Jane siku chache nyuma walizungumza nn hasa ?

Wengi wanamnyooshea bibiye kidole kwa kusema anataka nyumba sjui mali kwamba haiwezekani mwanamke kununua kiwanja?? Kinachowashinda ni kutokujua kutumia akili na hisia kumpenda mtu haikufanyi uandike majina yake kisa tuu kumfurahisha....

Nina mfano halisi ulitokea makongo juu hvhv kwenye mgogoro wa wanandoa kiwanja ni cha mwanamke majina ni yanasoma mwanamke, anaejenga ni wote wawili!!!

Nakulilia Jane Urassa wa lyamungo sinde cc secretarybird mwenyekiti wa kwa Urassa
 
Back
Top Bottom