Marehemu kutokwa na jasho !

Kuna wengine huwa wanatoka damu kwenye pua na masikio wakati ishapita siku moja tangu afariki.
 
Yawezekana tangu alipokufa mwili wake haukuwekwa mochwari kwenye yale majokofu.
 
Stori za kuchukuliwa msukule zipo siku nyingi,ila sijawahi kuona waliorudishwa,ina maana wagaga woooote hakuna anayeweza kurudisha msukule wanawezaje kutengeza msukule alafu washindwe kuludisha mtu aliyechukuliwa msukule? Majeshi hebu tusaidie ufafanuzi kwenye hili
 
Nijuavyo Mwanaume akifa then akawa stimulated uume wake unasimama.... sasa sijui kutoka jasho
 

nakusaidia kumuita majeshi tafadhali!
 
Last edited by a moderator:
Sababu kubwa ya kuonekana kutoa Jasho ni kwa sababu aliwekwa kwenye Jokofu na baadae kwenye Jeneza ambamo kuna Joto. Yale maji yaliyoganda kwenye mwili yananza kuyayuka na ndio maana unaona ni Jasho.
 

uko sawa. Hata mimi nimwewahi shuhudia mtu kafa kathibitishwa lakini mpaka anaagwa bado mapafu yake yalikuwa yanafanya kazi .na mwili ulikuwa na joto kama mzima.ilibidi kurudi hosp na madocta wakasema huwa inatokea kwa baadhi ya watu.yaani kesha kufa ila body function imechelewa kumalizika.
 

Nakumbuka marehemu babu yangu alivyofariki alikuwa amenyolewa mustachi siku moja kabla. Siku ya kuaga mustachi ulikuwa umeanza kuota(ule weusi juu ya mdomo ulikolea). Na siku ya kuzika(siku 2 mbili maana tulisafirisha) wakati wa kuaga tena kijijini nilishuhudia kabisa mustachi ukiwa umeongezeka zaidi.

Hapo nilifanya jitihada kuuliza na nikafahamishwa hayo uliyoyaelezea
 

ukirudi form1 kusoma chemistry utakutana na vitu kama physical change and chemical change
kuna baadhi ya vitu ukivibadili state moja kwenda nyingine hauwezi kuvirudisha na ndio maana wapiga ramri wanapwaya kwenye hii kitu kwani tayari wanakuwa wamekutana na chemical change
.jus jockin.

.made in mby city.
 
Hivi unamjua paw ama unamsikia? Atanisapraizi ngoja nisimfundishe. Hakawii teja mmoja kuhamia kuishi n mie kaburini
Andika wosia, ukizikwa uwekew umeme kaburin kwako na back up ya power.....
 
Kama aliwekwa kwenye Friji la mochwari basi jibu ni hili: chukua soda au maji ya barid yaliondani ya friji,yaweke sehemu yoyote kwa muda(nje ya friji). Utaona maji nayo yanatoa jasho!
 

tz madaktari huthibitisha vifo bila hata kutumia vipimo. mtu anaweza asiwe anatoikisika lakini moyo wake unataka kushtuliwa kidogo tu....si ajabu alipothibitishwa kuwa amekufa alikuwa bado hajafa.
 
Ndugu, yaani kila nikiona comment zako, wewe ni;
Interesting........,
Anzisha uzi kisha uwe na maudhui ya neno moja tu, 'interesting' watu watiririke na mawazo! Just kiddin!!
Lol!

Mkuu; nafuu ata huyu kuliko akina nanihii wanaokuja kuchora vitu vya ovyo humu au "vapour"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…