Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Nimeikumbuka mkuu,kipindi iko Banana Zoro,Q chillar na Papii kocha wanatoa album zao uzinduzi mkubwa kama wa Ugali ya Juma nature
 
Aaah hivi calif records bado ipo. Hivi wajua sappy wa ogopa ni kijana wa mwanza
Juzi kati wanadai jamaa alikuwa anatoka na Naazizi ila walikanusha ,Sappy alipambana sana wakati yule producer mkenya alipokuwa anaisha Mwanza alifanya remix ya nako 2 nako
 
Juzi kati wanadai jamaa alikuwa anatoka na Naazizi ila walikanusha ,Sappy alipambana sana wakati yule producer mkenya alipokuwa anaisha Mwanza alifanya remix ya nako 2 nako
Prod gan mkenya huyo mkuu?
 
Q the don kama ulishawahi kumskia
Q the don, siyo kumsikia tu nilishawahi walipia vijana nikawapeleka hadi studio kwake nikawakuta akina filbert kabago wamekuja tengeneza wimbo sasa ile wanajiandaa kuingia booth wakaamua waanze pika kabisa mihogo wale.
Q sema alikuwa napenda sana pombe
 
Q the don yuko wapi now
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nouma sana
 
ujio wa kishindo wa diamond plutnumz.. umezifanya studio nyingi sana na wanamuziki wengi sana wakongwe kufa kibudu..

diamond ametoka ni kishindo ambacho hadi lady jaydee na juma nature wanatamani kulia

Ma producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskii
Kuna ngoma aliigonga lamar ya mandojo na domokaya inaitwa we nenda naikubari mpaja kesho
 
ujio wa kishindo wa diamond plutnumz.. umezifanya studio nyingi sana na wanamuziki wengi sana wakongwe kufa kibudu..

diamond ametoka ni kishindo ambacho hadi lady jaydee na juma nature wanatamani kulia
Game imechange sana kuanzia aina ya unaji studio za mziki mpaka videos.
Visual lab kapotea, nisher naye chalii, akina epidu walishawapoteza empty soulz, 2eyes, mwananchi production, benchmark production tayari
 
Yes Lamar anapiga mishe zingine anafanya ameajiriwa pia anayo carwash
Kweli afadhali kajiongeza.
Toka pc ziwe bei chee na kudownload fl studio cubase na new handle basi vikaanza ibuka vistudio vya magheton kiasi kwamba kurekodi kukawa rahisi nyimbo za quality ndogo zikafunika za quality kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…