Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeikumbuka mkuu,kipindi iko Banana Zoro,Q chillar na Papii kocha wanatoa album zao uzinduzi mkubwa kama wa Ugali ya Juma natureHizi ndo ratiba zetu everyday
P, snalee na ngwair twasaka pay
Tukiwa kwenye mic ubitoz usituletee
Twakomaa na mziki ili maisha yaendelee.
Gheto langu dah nilikuwa nkisikiliza mashairi ya ngwait over naliona gheto kabisa.
Umenikumbusha east zoo, chamber squad akina noorah
Juzi kati wanadai jamaa alikuwa anatoka na Naazizi ila walikanusha ,Sappy alipambana sana wakati yule producer mkenya alipokuwa anaisha Mwanza alifanya remix ya nako 2 nakoAaah hivi calif records bado ipo. Hivi wajua sappy wa ogopa ni kijana wa mwanza
Prod gan mkenya huyo mkuu?Juzi kati wanadai jamaa alikuwa anatoka na Naazizi ila walikanusha ,Sappy alipambana sana wakati yule producer mkenya alipokuwa anaisha Mwanza alifanya remix ya nako 2 nako
Zaman album inasubiliwa kwa hamu yaniNimeikumbuka mkuu,kipindi iko Banana Zoro,Q chillar na Papii kocha wanatoa album zao uzinduzi mkubwa kama wa Ugali ya Juma nature
Q the don kama ulishawahi kumskiaProd gan mkenya huyo mkuu?
Q the don, siyo kumsikia tu nilishawahi walipia vijana nikawapeleka hadi studio kwake nikawakuta akina filbert kabago wamekuja tengeneza wimbo sasa ile wanajiandaa kuingia booth wakaamua waanze pika kabisa mihogo wale.Q the don kama ulishawahi kumskia
Enzi za shule mkuu, nilikuwa na karedio kangu huniambii kitu wakati wa weekend fever huku nikipiga msuli mdogomdogo,Wapi mkuu
Q the don yuko wapi nowQ the don, siyo kumsikia tu nilishawahi walipia vijana nikawapeleka hadi studio kwake nikawakuta akina filbert kabago wamekuja tengeneza wimbo sasa ile wanajiandaa kuingia booth wakaamua waanze pika kabisa mihogo wale.
Q sema alikuwa napenda sana pombe
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nouma sanaQ the don, siyo kumsikia tu nilishawahi walipia vijana nikawapeleka hadi studio kwake nikawakuta akina filbert kabago wamekuja tengeneza wimbo sasa ile wanajiandaa kuingia booth wakaamua waanze pika kabisa mihogo wale.
Q sema alikuwa napenda sana pombe
Sijui aisee, na ile studio haikuwa yake ilikuwa ya maza flan wa Arusha so q alikuwa anaishi pale pale kwa maza.Q the don yuko wapi now
Sema madogo Q aliwapiga bati baada ya kuwakadhi beat skelaton wapige zoezi hawakutaka rudiHahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nouma sana
Maproducer bhanaSema madogo Q aliwapiga bati baada ya kuwakadhi beat skelaton wapige zoezi hawakutaka rudi
Ma producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskiiMaproducer bhana
Ma producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskii
Kuna ngoma aliigonga lamar ya mandojo na domokaya inaitwa we nenda naikubari mpaja kesho
Yes Lamar anapiga mishe zingine anafanya ameajiriwa pia anayo carwashMa producer na studio kibao zimepotea kama sound crafters, kama kawa records, fm studios, fish crab naye simskii
Kuna ngoma aliigonga lamar ya mandojo na domokaya inaitwa we nenda naikubari mpaja kesho
Game imechange sana kuanzia aina ya unaji studio za mziki mpaka videos.ujio wa kishindo wa diamond plutnumz.. umezifanya studio nyingi sana na wanamuziki wengi sana wakongwe kufa kibudu..
diamond ametoka ni kishindo ambacho hadi lady jaydee na juma nature wanatamani kulia
Kweli afadhali kajiongeza.Yes Lamar anapiga mishe zingine anafanya ameajiriwa pia anayo carwash
Hahaaaaaaa kama Mesene selector alivyoanzaKweli afadhali kajiongeza.
Toka pc ziwe bei chee na kudownload fl studio cubase na new handle basi vikaanza ibuka vistudio vya magheton kiasi kwamba kurekodi kukawa rahisi nyimbo za quality ndogo zikafunika za quality kubwa