Nilikuwa naisoma post yako huku najiuliza nani kaandika hii. Nilivomaliza nikarudi kuangalia author nani. Kumbe wewe! Nimecheka sana. Yaani wakati sisi tunaugulia kummiss Roy, wewe tayari ushakumbuka bikra yako, ushaikumbuka na mimba! Daah. Weee Madame B wewe!Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Jamaa mwingine alikua anaitwa sky WalkerKidbway na glory robinson
Wee jamaa n muhengaEnzi za shule mkuu, nilikuwa na karedio kangu huniambii kitu wakati wa weekend fever huku nikipiga msuli mdogomdogo,
Freshman huwa naumia sana watu Mnavocompare jamaa wa zaman na hawa madogo wa sikuiz naomba muwe specificujio wa kishindo wa diamond plutnumz.. umezifanya studio nyingi sana na wanamuziki wengi sana wakongwe kufa kibudu..
diamond ametoka ni kishindo ambacho hadi lady jaydee na juma nature wanatamani kulia
Kulikuapo na kinaKidbway na glory robinson
upo sahihi mkuuFreshman huwa naumia sana watu Mnavocompare jamaa wa zaman na hawa madogo wa sikuiz naomba muwe specific
Mnapotaka kucompare katika kategoli zenu
jamaa wa zaman wamefanya kazi kubwa sana sema finishing yao kwa kipndikile iliangushwa sana na mambo ya utandawaz bado kulikua na kiza kinene sana ila
please naomba msiwakosee heshima wale jamaa wa kitambo as if hawakufanya kitu
diamond anaheshima yake ila mm huwa sion zaidi ya yeye kuja kufanya ujanja mdogo kutokana na foundation ambayo ilishakuwako tayali
Sikuiz hakuna tungo ambazo zinanishawishi kama kipindi kile nimemchangia sana mamu kwenye copy ambazo alikua anafyatua
Mtoto wa mama sabuni.Kidbway na glory robinson
African beats.. Top ujazo daaah pembeni mtu mzima Dee7. Nice memorieskuna yule dada wa kiss fm jina lake sherry enzi hizo ikifika saa 12 hadi mbili kasoro jioni walikuwa na kipindi cha bongo flava yuko wapi wahenga wenzangu?
Jamaa yupo anafanya kazi na Bongo 5Jamaa mwingine alikua anaitwa sky Walker
Jamaa wamelamba Dume.........Jamaa yupo anafanya kazi na Bongo 5
haswaa mkuuAfrican beats.. Top ujazo daaah pembeni mtu mzima Dee7. Nice memories
..we sonso ukikosa vya kuandika,usitafute basha humu..alikuwa talented sana lakini zile fununu za u mende hadi kwa wasanii fulanifulani zilikuwa zinasikitisha na kuwatisha wengi
Hata sijui wako wapi mkuuhaswaa mkuu
yuko wapi yule dada, na jingo yao ya nyau
Hakika mkuu kwa post hii umeusuuza moyo wangu nlikua naitafuta sana hii nyimbo dah .aliye imba ni nani mkuu?tuanzie hapo kwanza.Gita Gita Gita Mpenzi Gita ona navyokuita Nani G-Records.
[emoji777]Nakumbuka Bukuku alitoa machozi wakati anahojiwa na Salama Jabir alivyomkumbusha Late Roy.
Mtoto wa mama sabuniMtoto wa mama sabuni.
daaa kwa kamkulu umenikumbusha 2006 shule tunakaa kumsikiliza jamaa na kuhadithia movie zake. mpaka leo kuna jamaa tulimwita kamkuluMtoto wa mama sabuni
RFA ilikua iko vema sana sijafaham kuna nn kilitoke RFA ikayumba
Kulikua na kina Frederic bundara
Beatrice labach
Kuna brother moja alikua anaitwa Roy MLaliki Maganga jamaa alikua yuko vizuri sana akiwa on air huchoki kumsikiliza
Sijapata kumsikia tena toka aondoke rfa na n moja ya watangazaji wa mwanzo walioondoka RFA alikua na mke wake mtangazaji apo apo RFA
Rfa ya kina rahabu Fred mke wa Fred waaa
RFA ya kina baruani mahuza
RFA ya kina kamkulu (hindustyle)
RFA ya kina Gabriel zakalia
RFA ya kina juma baragaza
RFA ya kina samud hassan
RFA ya kinalytu
RFA ya kina zuberi msabaha
RFA ndo radio ya kwanza kusambaza masafa ya FM inchi nzima
Sijafahamu kulitokea nn ila ndo yalishatokea ila kama n mambo ya maslai basi Anton dialo kaharibu chemistry moja nzuri sana ambayo haitakuja kutokea katika industry ya radio
Tunawasikia wengine wapo mjin na still wapo kwenye same industry ila wanapwaya sana
Fred fidelis brother naukubali sana uwezowako lakini nowadays unaniangusha sana naomba usimame tena mwenyewe umekosa chemistry kabisa saiz nikikusikia nowadays
Huwanajiuliza ivi hujamaa ndo yule aliyekuako kwenye amka na vodakom na sindano tano za moto au mwingine
Nilisikitishwa sana na crisis ambayo ilikumba sahara media
Chemistry iliyokuako zaman nilikua natumaini langu kubwa sana itakuja kuwa kama BBC swahil au VOA Swahili au DW Swahili