Mtoto wa mama sabuni
RFA ilikua iko vema sana sijafaham kuna nn kilitoke RFA ikayumba
Kulikua na kina Frederic bundara
Beatrice labach
Kuna brother moja alikua anaitwa Roy MLaliki Maganga jamaa alikua yuko vizuri sana akiwa on air huchoki kumsikiliza
Sijapata kumsikia tena toka aondoke rfa na n moja ya watangazaji wa mwanzo walioondoka RFA alikua na mke wake mtangazaji apo apo RFA
Rfa ya kina rahabu Fred mke wa Fred waaa
RFA ya kina baruani mahuza
RFA ya kina kamkulu (hindustyle)
RFA ya kina Gabriel zakalia
RFA ya kina juma baragaza
RFA ya kina samud hassan
RFA ya kinalytu
RFA ya kina zuberi msabaha
RFA ndo radio ya kwanza kusambaza masafa ya FM inchi nzima
Sijafahamu kulitokea nn ila ndo yalishatokea ila kama n mambo ya maslai basi Anton dialo kaharibu chemistry moja nzuri sana ambayo haitakuja kutokea katika industry ya radio
Tunawasikia wengine wapo mjin na still wapo kwenye same industry ila wanapwaya sana
Fred fidelis brother naukubali sana uwezowako lakini nowadays unaniangusha sana naomba usimame tena mwenyewe umekosa chemistry kabisa saiz nikikusikia nowadays
Huwanajiuliza ivi hujamaa ndo yule aliyekuako kwenye amka na vodakom na sindano tano za moto au mwingine
Nilisikitishwa sana na crisis ambayo ilikumba sahara media
Chemistry iliyokuako zaman nilikua natumaini langu kubwa sana itakuja kuwa kama BBC swahil au VOA Swahili au DW Swahili