Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Marehemu Roy alikuwa anajua sana

Dah nikiukumbuka huu wa Siamini wa Matonya pamoja na ule wa Mb Dogy, Mapenzi kitu gani nakumbuka mbali sana.
Ndio nyimbo zilizonifanya nikatiwa mimba miaka ile ya 2005.
Dah!
Kila nikizisikiliza nyimbo hizi, nakumbuka bikra yangu niliyopoteza kwa kwenda Club miaka hiyo kusikiliza hizi nyimbo.
R.I.P Roy ndani ya G2
Nilikuwa naisoma post yako huku najiuliza nani kaandika hii. Nilivomaliza nikarudi kuangalia author nani. Kumbe wewe! Nimecheka sana. Yaani wakati sisi tunaugulia kummiss Roy, wewe tayari ushakumbuka bikra yako, ushaikumbuka na mimba! Daah. Weee Madame B wewe!
 
Anamabeat yake flan hivi kama ile ya a.b skills na dully sykes yaani hatari
 
ujio wa kishindo wa diamond plutnumz.. umezifanya studio nyingi sana na wanamuziki wengi sana wakongwe kufa kibudu..

diamond ametoka ni kishindo ambacho hadi lady jaydee na juma nature wanatamani kulia
Freshman huwa naumia sana watu Mnavocompare jamaa wa zaman na hawa madogo wa sikuiz naomba muwe specific

Mnapotaka kucompare katika kategoli zenu

jamaa wa zaman wamefanya kazi kubwa sana sema finishing yao kwa kipndikile iliangushwa sana na mambo ya utandawaz bado kulikua na kiza kinene sana ila

please naomba msiwakosee heshima wale jamaa wa kitambo as if hawakufanya kitu

diamond anaheshima yake ila mm huwa sion zaidi ya yeye kuja kufanya ujanja mdogo kutokana na foundation ambayo ilishakuwako tayali

Sikuiz hakuna tungo ambazo zinanishawishi kama kipindi kile nimemchangia sana mamu kwenye copy ambazo alikua anafyatua
 
upo sahihi mkuu
 
kuna yule dada wa kiss fm jina lake sherry enzi hizo ikifika saa 12 hadi mbili kasoro jioni walikuwa na kipindi cha bongo flava yuko wapi wahenga wenzangu?
African beats.. Top ujazo daaah pembeni mtu mzima Dee7. Nice memories
 
Roy bonge la Mnyamwezi mtu wangu. Katikawatu fulani unaokutana nao na kuona huyu clean heart halafu ana talent halafu mtu poa kabisa Roy nimmoja wapo.

Kuna siku nilikutana naye Raha Towers, kipindihicho 1999 Internet tunaifuata pale juu Raha Tower kwenye ki internet Cafe,unatoa buku unakaa saa moja or so.

Roy akaniita, kaingia website gani hukosijui ina piano online, sasa ile keyboard ime map keys zote za piano, unaweza kupiga piano kwa keyboard ya computer. Roy akawa anapiga nyimbo za Hip Hop, mara Eminem, mara Dr. Dre.

Mimi nikawa naangalia tu utundu wake.

Bonge la talent tumepoteza.

R.I.P Roy.
 
Gita Gita Gita Mpenzi Gita ona navyokuita Nani G-Records.

[emoji777]Nakumbuka Bukuku alitoa machozi wakati anahojiwa na Salama Jabir alivyomkumbusha Late Roy.
Hakika mkuu kwa post hii umeusuuza moyo wangu nlikua naitafuta sana hii nyimbo dah .aliye imba ni nani mkuu?tuanzie hapo kwanza.
 
Mtoto wa mama sabuni.
Mtoto wa mama sabuni
RFA ilikua iko vema sana sijafaham kuna nn kilitoke RFA ikayumba

Kulikua na kina Frederic bundara
Beatrice labach

Kuna brother moja alikua anaitwa Roy MLaliki Maganga jamaa alikua yuko vizuri sana akiwa on air huchoki kumsikiliza

Sijapata kumsikia tena toka aondoke rfa na n moja ya watangazaji wa mwanzo walioondoka RFA alikua na mke wake mtangazaji apo apo RFA

Rfa ya kina rahabu Fred mke wa Fred waaa

RFA ya kina baruani mahuza

RFA ya kina kamkulu (hindustyle)

RFA ya kina Gabriel zakalia

RFA ya kina juma baragaza

RFA ya kina samud hassan

RFA ya kinalytu

RFA ya kina zuberi msabaha

RFA ndo radio ya kwanza kusambaza masafa ya FM inchi nzima

Sijafahamu kulitokea nn ila ndo yalishatokea ila kama n mambo ya maslai basi Anton dialo kaharibu chemistry moja nzuri sana ambayo haitakuja kutokea katika industry ya radio

Tunawasikia wengine wapo mjin na still wapo kwenye same industry ila wanapwaya sana

Fred fidelis brother naukubali sana uwezowako lakini nowadays unaniangusha sana naomba usimame tena mwenyewe umekosa chemistry kabisa saiz nikikusikia nowadays

Huwanajiuliza ivi hujamaa ndo yule aliyekuako kwenye amka na vodakom na sindano tano za moto au mwingine

Nilisikitishwa sana na crisis ambayo ilikumba sahara media

Chemistry iliyokuako zaman nilikua natumaini langu kubwa sana itakuja kuwa kama BBC swahil au VOA Swahili au DW Swahili
 
daaa kwa kamkulu umenikumbusha 2006 shule tunakaa kumsikiliza jamaa na kuhadithia movie zake. mpaka leo kuna jamaa tulimwita kamkulu
 
Back
Top Bottom