Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

Duh! umeshindwa kuona hata hilo???? hakuna haja ya kuandika kitu....................
 
NYUMBA INA MADIRISHA YA VIOO HALAFU UNALETEA VURUGU VIBAKA!!! ITAKULA KWAKO.
HAKUNA HAJA KA KUKASHIFU DINI AU MTUME WA MWENZIO............
 
ndilo lengo lako.. kashfa....
@mod futa hii

1.Kuna hoja 20 zinazodai majibu ya uhakika na sio kashifa.

2. Kama kuna kashifa Wa kwanza kujikashifu Muhammad mwenyewe. Huwezi kuanzisha dini ambayo watu wanapohoji hawapati majibu yasiyoacha shaka. Mungu anajua mambo ya nyakati zote. Haiwezekani Kazi ya Muhammad kama ina mkoono wa Mungu ikakosa kufahamu kwamba vijazi vya baada yake vingalihitaji majibu yasiyo kuwa na kujichanganya au kuokoteza.

3. Muhammad alijikashifu yeye mwenyewe kwa kuvamia mambo yanayohitaji akili kubwa wakati yeye aliwategemea watu wengine wamuandikie Kurani.

4. Lawama zitokanazo na hoja zangu abebeshwe Muhammad mwenyewe na sio wale tunaodai majibu.
 
😵
 
Verification code ya Mungu? Ndio code ambayo Muhammad aliitumia kuthibitisha kwamba Mungu alimtuma Malaika Gabrieli kwake au Verification code ya nini hasa?

Ndugu Quran ni muujiza wa karne. Tofauti na mitume wengine walitumia muujiza ile sawa na wakati wao. Mfano wakati wa mabii MUSA na Yesu waliamini ktk uchawi. Mtume wetu Muhammad hakuletwa ktk karne ya walioamini ktk uchawi, laa kaletwa ktk karne ya sayansi na teknolijia. Ambapo number ndizo zinazoleta fact.

Verification code ni numba maalumu ktk hesabu. Na hesabu ndio lugha peka yake ambayo inaweza kutuwezesha dunia nzima tukawasiliana bila kujalisha utaifa wetu, ukabila wetu wala lugha tunazozungumza kwa sababu hesabu ndio ukweli unaothibutishika (provable facts)


SABABU ZA KUELEZEA HESABU NDANI YA QURAAN

1: Tunaeleza hesabu ndani ya quraan kwa kuthibitisha hifadhi ya quraan kwa maana kama ndani ya quraan hakuna kilichoongezeka wala kilichopungua hivyo kwa kutumia hesabu tunaweza kulithibitisha hili.
Hii inatufahamisha kwamba quraan yoote ni kama sentensi moja iliyobeba ujumbe mmoja kimaana na kimaandishi

Katika hili tunaweza kupata (balance perfection of words) uwiano uliotimia wa maneno yoote katika quraan

Hii ina maana kwamba kila kitu kiko mahali pake na hakuna kinachostahili kuongezwa wala kupunguzwa na kama itatokea kutaongezwa ama kupunguzwa chochote huu uwiano uliotimia wa kimahesabu katika quraan woote utaparaganyika.

Hii ina maana kama ile quraan iliyoshuka wakati wa mtume (sallah llahu alayhi wassalam) ndio quraan ambayo tuko nayo sisi leo hii.

Hivyo kwa wale ambao wataifuata quraan kikamilifu leo hii hawatakuwa na tafauti na wale waliokuwepo wakati wa mtume wetu (sallah llahu alayhi wassalam) sote tunapokea ujumbe mmoja kutoka kwa Allah.

2: verification code ndani ya quraan ni (intelectualy defence) ni hoja ya kiakili kwetu dhidi ya wapinzani wa quraan.

Leo tunashuhudia mashambulizi dhidi ya mtume wetu ( sallah llahu alayhi wassalam) uislam na quraan katika vyanzo mbali mbali vya habari, hivyo hesabu ndani ya quraan ni hoja nzito kwetu kwa wale wapinzani wa Uislam.

Uwiano wa kimahesabu katika quraan ni mwingi sana ni wa kushangaza na pia uko juu sana ya akili za kibinaadamu( muujiza).

Miaka 1400 iliyopita katika jangwa la arabuni ambapo hakukuwa na teknolojia yoyote ile hakuna ambae angeweze kutengeneza uwiano wa kimahesabu kama uliopo kwenye quraan.

Kama bado huiamini kwa ushahidi wa kisayansi Quran inakichallenge ktk
surah ya Baqarah 2:23
And if you are in doubt about what We have sent down upon Our Servant [Muhammad], then produce a surah the like thereof and call upon your witnesses other than Allah, if you should be truthful.

Ni ajabu mtu an a challenge kwa Nia ya ubishi ilhali hiyo Quran inamchallnge athibitishe hoja za kama kweli binadamu wa kawaida unaweza kuiandika basi tuandikie wewe aya moja. Sisi tutaitest kisayansi zaidi. Ukishinda hilo basi verify kama ukweli bibi lia ni kitabu toka kwa Mungu.

Karibu tena kama utahitaji ufahamu zaidi.
 


1. Kuminywa hadi Muhammad kujihofia kufa muda wowote sio kukabwa ni nini? Umesahau alichofika na kumueleza Khadija anavyojisikia?

2. Ina maana Mungu hana njia nyingine ya kumuelewesha binadamu pale anapokuwa na Kichwa kigumu hadi atumie nguvu?

3. Je,Mungu wakati anamtuma Malaika kwa Muhammad hakuwa anafahamu kwamba Muhammad ana Kichwa kigumu cha kuelewa hata asubirie kwenda kumdhalilisha hivyo MTU mzima na watoto na familia? Wewe unafikiria akina Kassimu walijisikiaje kumuona baba yao anarudi nyumbani amelowa majasho?
 

"Uwiano wa kimahesabu katika quraan ni mwingi sana ni wa kushangaza na pia uko juu sana ya akili za kibinaadamu( muujiza"

Kama uwiano Wa kihesabu katika Kurani ni mwingi sana na unazidi akili zenu ina maana ni mambo ambayo hayaelezeki. Sasa kama hayaelezeki wewe unajifunza nini na unafaidikaje?
 


1. Nimekuonyesha yanakotoka mamlaka ya kutangaza watakatifu.

2. Watakatifu unaowasikia hawajitangazi wenyewe bali wanatangazwa. Je, Muhammad alitangazwa Mtume au alijitangaza mwenyewe?
 
nmba 14.[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 

Uwiano wa kimahesabu katika quraan ni mwingi sana ni wa kushangaza na pia uko juu sana ya akili za kibinaadamu kwa lugha rahisi ndio huitwa MUUJIZA. Na huo ndio muujiza wa Qur'an. Kama vile nabii Musa alivyotenda Yale mambo ambayo kwa wakati huo kwa akili ya yaliwashangaza kwa kugeuza fimbo kuwa nyoka ikaonekana ni MUUJIZA sawa na karne Yake waliyoamini uchawi, na kama nabii ISSA Yesu alivyonponya kipofu Mmoja ikaonekana ni muujiza sawa na karne walioamini ktk uchawi, ndio vivyo hivyo Nabii Muhammad kaleta muujiza wa kisayansi sawa na karne yetu.
 
Unadhani kwa nini Wayahudi kabila la Yesu hawamtambui wala kumkubali Yesu na matamshi yake
Josephus mwana historia wa Kiyahudi alyeandika yote yaliyo tokes Uyahudini karne ya kwanza kwanini hakuandika lolote kuhusu miujiza ya mtoto wa Fundi seremala wa miaka themanini na tano na mke wake wa miaka kumi na tatu?
Tuanzie hapo kwanza?
 
Mkuu umenza vizuri mwisho umeboronga nadhani umekosa maana sahihi .Ukristo ni Jina au kielelezi Kama uislam .
 
Mbna ww unamin ya muhamadi kuliko ya mungu.
 
Mkuu unaweza kulaumu kwamba wakritu tuna vichwa vigumu kuelewa hata sis tunawaona ninyi hivyo. Mfano 'MALAIKA GABLIeli alivyo mkaba Muhammad kulazimisha asome .
 
Umepoteza muda mwingi kwa porojo porojo alafu unasema bila kupoteza muda.


Kweli upeo unatofautiana kati ya mtu na binadamu
 
NYUMBA INA MADIRISHA YA VIOO HALAFU UNALETEA VURUGU VIBAKA!!! ITAKULA KWAKO.
HAKUNA HAJA KA KUKASHIFU DINI AU MTUME WA MWENZIO............

Yaonyeshe hayo madirisha ya vioo. Na unafikiria huu ndio utetezi Wa hoja?
 
Mkuu unaonekana unajua mengi.Ujio wa mitume ulikuwa unatabiliwa je kwenye kurwan Kuna details zozote juu ya ujio muhamad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…