😂😂😂 jamaniiiOngeza na stress za maisha.
Jamii inakuuliza mbona huolewi /mbona huzai
Umri unaenda...
Kazi ya maana huna
Hapo hapo unapata wazee washaanza kuumwa uzee
Homoni zitabalance vp jamani
Ulipokuwa kigor ulikataa wasio na hela ukataka wenye hela ukiwaza hayo lazima maji yakauke tuOngeza na stress za maisha.
Jamii inakuuliza mbona huolewi /mbona huzai
Umri unaenda...
Kazi ya maana huna
Hapo hapo unapata wazee washaanza kuumwa uzee
Homoni zitabalance vp jamani
Nani kakwambia?Ulipokuwa kigor ulikataa wasio na hela ukataka wenye hela ukiwaza hayo lazima maji yakauke tu
HahahahaUlipokuwa kigor ulikataa wasio na hela ukataka wenye hela ukiwaza hayo lazima maji yakauke tu
Vingine hata havisubiri useme, vipo tunaona vinavyoleta madharaNani kakwambia?
Kosa mnalofanya wanaume ni kuamini kila mwanamke ana mwanaume! Kila mwanamke ambae hajaolewa basi kakataa sawa waoaji! Hizi nadharia sijajua zinatokaga wapi wallahVingine hata havisubiri useme, vipo tunaona vinavyoleta madhara
Rishe ndio nini?Kuna ukweli, ila hii inachangia pia kuleta Rishe duni inayofanya mwili kuzohofu kukosa hiyo kitu.
Vipi tena ule utaratibu wetu wa 50-50 si uendeleee au tusitishe?Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho, hivyo mara nyingi wanawake wanakuwa kiakili hawako tayari kwenye tendo Wana waza Vikoba tu.
Aidha Daktari amesema pia baadhi ya dawa za uzazi pia zimekuwa sababu ya wanawake wengi kukosa maji maji Ukeni hali inayo wapelekea kupata maumivu wakati wa tendo.
🗣️ Amesema Dokta Godfrey
Hivi hii ina ukweli?
View attachment 3700068
daktari Godfrey Chale kapiga kwenye mshono kabisa dah!Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Godfrey Chale wa Dkt. Chale Polyclinic iliyopo Mbezi kwa Msuguri ana eleza kuwa maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke husababishwa na kukosa maji maji ukeni (Ute), hiyo hali imesababishwa na wanawake kupitia stress za Vikoba na marejesho, hivyo mara nyingi wanawake wanakuwa kiakili hawako tayari kwenye tendo Wana waza Vikoba tu.
Aidha Daktari amesema pia baadhi ya dawa za uzazi pia zimekuwa sababu ya wanawake wengi kukosa maji maji Ukeni hali inayo wapelekea kupata maumivu wakati wa tendo.
🗣️ Amesema Dokta Godfrey
Hivi hii ina ukweli?
View attachment 3700068
Tena nakwambia hivi maisha ni yako siyo ya wapiga kelele wa mtandaoni au mtaani...Kosa mnalofanya wanaume ni kuamini kila mwanamke ana mwanaume! Kila mwanamke ambae hajaolewa basi kakataa sawa waoaji! Hizi nadharia sijajua zinatokaga wapi wallah
Kukosea swahili sio tatizo, rekebisha hapo, ni Lishe sio?Rishe ndio nini?
AsantE nashukuru kwa ushauri ila hawa watu wasitusakame sana jamaniTena nakwambia hivi maisha ni yako siyo ya wapiga kelele wa mtandaoni au mtaani...
Ukipata mume unayeona anafaa olewa hujapata kaa tulia huku ndani panataka uvulimivu na hekima sana