Karma is mirror.Kweli nimeamini ule msemao “ vice versa is tru” huyu polisi alijua floy anaenda kukaa lupango lkn badala yake yeye yamemkuta hayo hayo pia
Nahisi wengi wana jaji kuhusiana najamaa kupewa kesi yakuuwa bila kukusudia wakati jamaa kiuhalisia ama kiuno unahisi kabisa alikusudia kwa alivyofanyaHili jambo ni jepesi sana kulizungumza ila linapokuja mbele ya sheria ni gumu kuliko maelezo.
Kuna watu wameshangazwa na tukio la mtuhumiwa kufunguliwa mashitaka ya 3rd degree murder. Sijajua labda walitakaje?
Ndiyo maana nauliza.
Inauma kweli hii. Hapo ndipo anapotofautishwa mwafrika wa tanzania na waafrika wengine.Polisi waliua mwanachuo wa NIT bila hatia na wapo wanadunda.
Kuhisi tu kuwa alikusudia si hoja mbele ya sheria. Kazi kubwa ni kuthibitisha mashitaka beyond reasonable doubt.Nahisi wengi wana jaji kuhusiana najamaa kupewa kesi yakuuwa bila kukusudia wakati jamaa kiuhalisia ama kiuno unahisi kabisa alikusudia kwa alivyofanya
Kuna tatizo gani kwa yeye kushitakiwa kwa 3rd degree murder kwa sasa? Isitoshe uchunguzi bado ungali ukiendelea na huenda makosa yakaongezeka.Huyo jamaa kaua kwa kukusudia. George alikuwa analalamika kabisa kuwa hawezi kupumua ndiyo kwanza jamaa anaongeza pressure! Raia wanamuambia utamuua jamaa hajali ndiyo kwanza anaongeza pressure! Hata baada ya George kukata moto jamaa hajaonyesha kushituka anaonekana yupo kawaida tu!
Halafu anashitakiwa kwa 3rd degree murder?! Hii ndiyo Amerika. Mara nyingi raia wanalalamika polisi wanaua raia halafu hawachukuliwi hatua yoyote! Wana resign halafu mafao yao wanapata kama kawaida! Wengine wanahamishwa wanapelekwa jimbo jengine.
Polisi wa Amerika wametofautiana sehemu ndogo sana na wa-kibongo!
Angalau wa Mwangosi alifungilwa kesi, wa akwilina hamna kesi, walio paza sana sauti ndo walio funguliwa kesi.
Hadi mtu ashitakiwe kwa mayaji kwa 1st or 2nd degree order huyo mtu inabidi aseme ninaua kwa makusudi Nini? Maana naona Kama kwa Hilo Kama unasema ushahidi wa kumpata na hatia kwenye 1st au 2nd itakuwa mgumu Basi hakuna mtu anayeweza kushtakiwa kwa ngazi hizi hadi muuaji akiri au aandike statement kabisa ya Kanka ya kwenda kuuaJe, muuaji alikusudia?
Hadi mtu ashitakiwe kwa mayaji kwa 1st or 2nd degree order huyo mtu inabidi aseme ninaua kwa makusudi Nini? Maana naona Kama kwa Hilo Kama unasema ushahidi wa kumpata na hatia kwenye 1st au 2nd itakuwa mgumu Basi hakuna mtu anayeweza kushtakiwa kwa ngazi hizi hadi muuaji akiri au aandike statement kabisa ya Kanka ya kwenda kuua
Wapumbavu sanaAsili yao ya ubaguzi haipotei mbwa hawaView attachment 1463290View attachment 1463291
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Andamana upate kipigo cha mbwa koko kutoka kwa Muroto.Polisi waliua mwanachuo wa NIT bila hatia na wapo wanadunda.