Marekani: Afisa wa polisi aliyefutwa kazi Derek Chauvin ashitakiwa kwa mauaji ya George Floyd. Mkewe ataka talaka

Inawezekana kabisa mtu kushitakiwa kwa 1st degree ama 2nd degree murder lakini pale ushahidi utakapo jitosheleza mahakamani ndipo mtuhumiwa ataweza kutiwa hatiani.

1st degree ama 2nd degree murder zinawalazimu waendesha mashitaka kutoa ushahidi mahakamani kuwa Chauvin alikusudia na kuwa alipanga mauaji ya Floyd ambapo kwa sasa yaonesha hakuna uthibitisho huo.

Lazima ushahidi uoneshe kuwa mtuhumiwa alipanga mauaji na si suala la kuonekana tu uraiani ama katika video akiua, la hasha! Kipengele hicho ni kigumu sana kisheria kwa sasa.

Kesi kama hizi zaweza kuchukua hata miezi 10 au zaidi kukamilika. Kukamilisha uchunguzi na kubaini kuwa mtuhumiwa alikusudia mauaji si jambo la leo na kesho.
 
wanawake bhana, yaani wakati wa shida ndio anaomba talaka.
 
3 degree ipoje ,nifafanulie

Sent
 
UPDATE: Mashitaka mapya!

Maafisa wa polisi wote wanne waliofukuzwa kazi wamefunguliwa mashitaka mapya.

Mashitaka ya Derek Chauvin hapo awali; '3rd-degree murder' pamoja na '2nd-degree manslaughter'.

Hivi sasa, Chauvin amepandishiwa mashitaka na atashitakiwa kwa '2nd-degree murder' kama shitaka jipya dhidi yake huku mashitaka ya awali yakibakia katika hati yake ya mashitaka.

Maafisa wengine watatu; Thomas Lane, J Alexander Kueng pamoja na Tou Thao wameshitakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya George Floyd (aiding and abetting 2nd-degree murder & aiding and abetting 2nd-degree manslaughter).

Mashitaka ya '2nd-degree murder' yaweza kupelekea hukumu ya kifungo cha hadi miaka 40 gerezani.
 
George Floyd death: New charges for all four sacked officers

New charges have been announced against all of the sacked police officers present at the death of African American George Floyd in Minneapolis.

The charge against Derek Chauvin has been elevated to second-degree murder, court documents show.

Derek Chauvin had initially faced charges of third-degree murder and second-degree manslaughter. These will stay on his charge sheet.

The other three sacked officers are Thomas Lane, J Alexander Kueng and Tou Thao. They all face charges of aiding and abetting second-degree murder, and aiding and abetting second-degree manslaughter, court documents state.

Announcing the new charges, Minnesota's Attorney General Keith Ellison said that they were in the interests of justice.

[BBC]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…