Atapigwa na Mafwele kama mbwa mwizi vile, Trump jaribu kwa Samia ulichofanya kwa Madulo uone utakavyochakazwa.Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU
Kwamba yale matofali tunapigwa bwashee?Wakileta pua zao lazima wavunjiwe yale matofali laini yasiyo na uuwiano mzuri wa mchanganyiko wa saruji na mchanga.
Mimi sijasema mkuu.😛😛😛😛😛🫸🫷Kwamba yale matofali tunapigwa bwashee?
Weeee!!Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU
Kabisa na Mulilo wajaribu waoneWeeee!!
Marekani wanamjua Mafwele wajaribu waone.
Unamwogopa mafwe boy?Mimi sijasema mkuu.😛😛😛😛😛🫸🫷
Ndo hapo sasa. Ukitokea ukame kidogo mtafutano kupata maji pwani, Dar na morogoro alafu unaitisha USA?Nchi ambayo hata maji ya kunywa mnategemea USAID ndo mnamtishia Marekani?
US haina immediate economic intrest na nchi za Africa ndiyo maana anaziachia kufanya wanavyo toka.Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU
Who are you! Nguvu hizo hukuzisikiaHahahah! Naona unaota ndoto za mchana kabisa!.
Exactly,nachombeza tu nikijua machawa wako humu kuona response zao!US haina immediate economic intrest na nchi za Africa ndiyo maana anaziachia kufanya wanavyo toka.
Kwa Samia The Killer mwisho wa maneno, bro! Kwanza mashehe ubwabwa wako standby kusomea wavamizi albadri. Trump ajaribu aone!😂Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU