maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Whu A Yu!
Ooh! Kumbe ni mgalatia mkatoliki😁Kwanini tufure sasa
Sisi ni Sovereign Kantri huwa nacheka sanaHahahaha story za mzee kombo hizi na girishu kwani venezuela sio sovereign
Mkuu Acha uongo sisi ya kwetu ni Namba 6National Bolivarian armed forces of Venezuela kwa fire power index ni ya 50 kati ya 145, nchi yetu primitive ni ya 129 kati ya 145, mmeshindwa hadi na South Sudan. Venezuela wanazo ndege (fighter jets ) nyingi modern kulinganisha na zenu, zipatazo 226 ninyi mnazo obsolete F-7 zilizotumika vita vya pili vya dunia zipatazo 14 tu, hamna Helicopter gunships, wenzenu wanazo nyingi zikiwamo zilizonunuliwa USA na Russia....za maana. Vifaru wanavyo vya kutosha kama 450, na zingine zimetengenezwa huko huko Venezuela. Ninyi vyenu vya Zamani tangu USSR mnazo 50 na zingine hazifanyi kazi. Ebu acheni kelele ninyi, msijifananishe na Venezuela, wana mafuta mapipa ya reserve Bil. 302 ambazo wangeuza yote wangekuwa na uchumi kushinda wa CHINA, au wangekuwa sawa na USA, ninyi mna gesi ambayo hamjui hata nani anachimba......mmebakiziwa mashimo tu punda nyie.
Wao wenye sovereign yao ndivyo wanadaiKwani Venezuela ni koloni la nani? Nigeria je? Au neno sovereign linaimfanya mtu kulazimisha kuongoza nchi na kuua raia wake? Mwalike Tunubu akupe darasa la nini maana ya sovereignity kabla hajamuonyeshea Trump aigeukie Tanzania!
Kila mtu lazima achekelee vioja vya hao majaaSisi ni Sovereign Kantri huwa nacheka sana
Nani aungane na hao wauaji.Vita ni umoja.Tukiwa na umoja,kona zote za uswahilini watu wanapewa silaha ndogondogo,inapigwa resistance moja ya kufa na kupona Mmarekani hatoboi kwenye vichochoro vyetu.
Naunga mguu hoja hii.😀😀Anawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU
Hakuna Nywiii NywiiiiAnawaonea wanyonge, aje huku kama hakunya mkojo. Anawaonea wanyonge akina Venezuela, jaribu hapa uone cha mtema kuni.
WHO ARE YOU, WHO ARE YOU, WHO ARE YOU