National Bolivarian armed forces of Venezuela kwa fire power index ni ya 50 kati ya 145, nchi yetu primitive ni ya 129 kati ya 145, mmeshindwa hadi na South Sudan. Venezuela wanazo ndege (fighter jets ) nyingi modern kulinganisha na zenu, zipatazo 226 ninyi mnazo obsolete F-7 zilizotumika vita vya pili vya dunia zipatazo 14 tu, hamna Helicopter gunships, wenzenu wanazo nyingi zikiwamo zilizonunuliwa USA na Russia....za maana. Vifaru wanavyo vya kutosha kama 450, na zingine zimetengenezwa huko huko Venezuela. Ninyi vyenu vya Zamani tangu USSR mnazo 50 na zingine hazifanyi kazi. Ebu acheni kelele ninyi, msijifananishe na Venezuela, wana mafuta mapipa ya reserve Bil. 302 ambazo wangeuza yote wangekuwa na uchumi kushinda wa CHINA, au wangekuwa sawa na USA, ninyi mna gesi ambayo hamjui hata nani anachimba......mmebakiziwa mashimo tu punda nyie.