Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Mkuu hawakumpinga kuhusu china kuchukiliwa hatua ndomaana hata Biden kipindi cha kampeni alisema hawezi kulegeza kamba kwa china na alienda mbali kumuita Rais Xi muhuni. Wanachotofautiana ni namna ya uwekaji wa vikwazo kwa china ila sio vikwazo visiwepo. Na kama mfatiliaji mzuri hivyo vyama huwa wanatofautiana kidogo sana kwenye sera za nje.Trump kumbe alikuwa sahihi kuhusu sera zake kali dhidi ya China?..Sasa mbona hawahawa ma liberali walikuwa wanamnanga!!.Leo imekuaje tena..?