Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Mkuu hawakumpinga kuhusu china kuchukiliwa hatua ndomaana hata Biden kipindi cha kampeni alisema hawezi kulegeza kamba kwa china na alienda mbali kumuita Rais Xi muhuni. Wanachotofautiana ni namna ya uwekaji wa vikwazo kwa china ila sio vikwazo visiwepo. Na kama mfatiliaji mzuri hivyo vyama huwa wanatofautiana kidogo sana kwenye sera za nje.Trump kumbe alikuwa sahihi kuhusu sera zake kali dhidi ya China?..Sasa mbona hawahawa ma liberali walikuwa wanamnanga!!.Leo imekuaje tena..?
Huyo Babu hawezi kitu amuulize yule kichaa aliyetoka yeye akaingia white house alivyokuwa ananipigia magoti.Huku kwema naskia Bideni anakushika Sharubu huko
Mle Kichwa tu sasaHuyo Babu hawezi kitu amuulize yule kichaa aliyetoka yeye akaingia white house alivyokuwa ananipigia magoti.
Du,Ona hii ng'ombe!
Kwani hujui hili ni jukwaa la kimataifa? Pumbavu
Wabongo kweli noma kuna uzi niliona eti Huawei awana tena uwezo wa kitengeneza simu.wameanzisha biashara nyingine.kumbe jamaa wanapiga kazi kama kawaChina tuko byzy na kuvumbua HUAWEI P50, hatuna habari na kelele za marekani View attachment 1734338
Ni kweli wameanzisha ufugaji wa nguruwe.Wabongo kweli noma kuna uzi niliona eti Huawei awana tena uwezo wa kitengeneza simu.wameanzisha biashara nyingine.kumbe jamaa wanapiga kazi kama kawa
Zile zilikua ni njama za kumfanya adui ajisahau, Wachina ni wajanja sana kwenye biashara.Wabongo kweli noma kuna uzi niliona eti Huawei awana tena uwezo wa kitengeneza simu.wameanzisha biashara nyingine.kumbe jamaa wanapiga kazi kama kawa
Tit for tat ni kucheza na akili ya aduiWabongo kweli noma kuna uzi niliona eti Huawei awana tena uwezo wa kitengeneza simu.wameanzisha biashara nyingine.kumbe jamaa wanapiga kazi kama kawa
Msuguano wowote kati ya washirika wa NATO na China unaathiri sana uchumi wa dunia kama sasa hivi washawekeana vikwazo kwa viongozi wa baadhi ya makampuni na hasa Huawei tutegemee bidhaa zao kuwa adimu au kupanda bei huko sokoni kwa matoleo mapya...Hii habari ina tija gani kwa Taifa?
HaaaahaaaaMtu unajiita Jingalao unategemea ujue umuhimu wa hii habari hasa kwenye uchumi wa dunia!
Ni bora uishie kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kuliko kutapakaza samadi yako kila sehemu.
Hii ndio bongoWabongo kweli noma kuna uzi niliona eti Huawei awana tena uwezo wa kitengeneza simu.wameanzisha biashara nyingine.kumbe jamaa wanapiga kazi kama kawa
Walisema et wameanza kufuga kitimotoWabongo kweli noma kuna uzi niliona eti Huawei awana tena uwezo wa kitengeneza simu.wameanzisha biashara nyingine.kumbe jamaa wanapiga kazi kama kawa
Amekwisha kata tamaa - Wachina NOMA sana - Chinese knows to hit where it hurts the most - juzi hapa nilishangaa Biden alipo tuma wajumbe kwenda kuonana na uongozi wa China eti "yaishe"- kutamba kwote na majigambo ya USA kulishia sakafuni baada ya kugunduwa kwamba bora kushirikiana na Uchina kwenye nyanja za sayansi, tekinilojia na utabibu kuliko kupoteza muda mwingi kwenye malumbano yasiyo na tija na hujuma za kiuchumi - USA imeanza kujirudi kwa kutambuwa kwamba if you cannot fight Chinese economically ni bora to join them - huo ni uhamuzi wa busara.Vita ya kiuchumi. Marekani ni mbabe kwa nn asipambane na ty mwenyewe mpk aombe msaada??? Au hamuwezi mchina?