Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

Marekani anatapatapa. Kinachomfanya atapetape ni hofu ya nafasi yake ya maamuzi katika dunia hii kuchukuliwa na China na Urusi. Kibaya zaidi anawatangazia vita ya wazi. Hata hao wanaomkubalia kushirikiana nae waliuona mchezo wa kuchukuliwa Jimbo la Crimea na hawakuwa na la kufanya.
 
Marekani anajaribu kutetea maslahi ya nchi yake katika nyanja mbali mbali
Mfano hawa wadudu huwa wanapewa back up na sirikali yao kinapokuja suala la copyright infringement mf kuna kipindi bongo zilijaa suruali za supreme mpaka unaweza ukajiuliza ni lini watanzania walianza kufanya biashara na mmarekani

Supreme kuona vile akaamua aipeleke kampuni husika mahakanani matokeo yake supreme akaikuta serikali ya china mahakamani na sio kampuni shitakiwa tena
Sasa just imagine raia wako wanalipa kodi kisawasawa alafu mdudu anaingilia maslahi atakavyo yeye

Huo ni mfano tuu kwa hiyo kwa namna marekani inavyokusanya mapata kwa raia wake haitawahi kuacha kuimba na china wimbo mmoja




Wachina ni majizi
 
Aisee!
 
China tuko byzy na Iran kwa kuweka mkataba wa kiuchumi utakaogharimu dola billions 400 pia tutauziwa mafuta rahisi kutoka Iran
 
Aisee!
China tuko byzy na Iran kwa kuweka mkataba wa kiuchumi utakaogharimu dola billions 400 pia tutauziwa mafuta rahisi kutoka Iran
 
Huu ni muda sasa wa Bi Mkubwa kutuma vijana wakasaidiane na Tundu kuiba matech ya kuunda bidhaa mbalimbali km mchina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…