Hii sio kitu ya kusherehekea. Hii ni ukoloni mambo leo. Marekani ni mashetani wakubwa sana katika hii dunia. Hapo Uhuru Kenyatta ametuangusha sana. Mbona anakubali hizi majitu kuleta uchafu yao huku. Kila mahali wanapokwenda wanaleta vita. Angalia Iraq, Afghanistan, Syria, Vietnam na kadhalika. Nadhania hii ni backward step tumechukua kama nchi. We have been colonised once, let us not be colonised again.Toka mzee wa kazi Trump aingie madarakani tumeshudia upanuzi mkubwa wa kambi za kijeshi na foward operating bases.
Katika kambi ya simba iliyo kaunti ya lamu nchini, upanuzi umekuwa ni wa kasi mno along with more millitary hardware.View attachment 986655
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakimaliza wataka wafanye practice kama yanafanya kazi sawa sawa ndio kisanga kitaanzia hapo.Hii sio kitu ya kusherehekea. Hii ni ukoloni mambo leo. Marekani ni mashetani wakubwa sana katika hii dunia. Hapo Uhuru Kenyatta ametuangusha sana. Mbona anakubali hizi majitu kuleta uchafu yao huku. Kila mahali wanapokwenda wanaleta vita. Angalia Iraq, Afghanistan, Syria, Vietnam na kadhalika. Nadhania hii ni backward step tumechukua kama nchi. We have been colonised once, let us not be colonised again.
Hahaa with authorised access, unapiga tu ila wanakuonyesha cha kupiga and what not tu...Mashababi bila shaka joto la Trump wameliskia! maana kwa ss ivi reaper drones aina ya mq 9 na mq1b zipo nchini , wanaonekana na kuskika toka angani na baadae wanapokea salamu..Duh! Halafu haya mapicha yanaruhusiwa kupigwa na kuachiwa kihivi....
Poa waweke madubwasha ya kisasa hayo maeneo ili mashababi yawe yanaonekana kwa mbali kabla kufika.