Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

Marekani azidisha upanuzi wa kambi yake ya kijeshi nchini!

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Toka mzee wa kazi Trump aingie madarakani tumeshudia upanuzi mkubwa wa kambi za kijeshi na foward operating bases.
Katika kambi ya simba iliyo kaunti ya lamu nchini, upanuzi umekuwa ni wa kasi mno along with more millitary hardware.
FB_IMG_1540587739919.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaiandaa kwaajili ya kuingia Tz kimkakati kwa visingizio vya kuwasaidia wananchi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na udictator
 
Duh! Halafu haya mapicha yanaruhusiwa kupigwa na kuachiwa kihivi....
Poa waweke madubwasha ya kisasa hayo maeneo ili mashababi yawe yanaonekana kwa mbali kabla kufika.
 
Toka mzee wa kazi Trump aingie madarakani tumeshudia upanuzi mkubwa wa kambi za kijeshi na foward operating bases.
Katika kambi ya simba iliyo kaunti ya lamu nchini, upanuzi umekuwa ni wa kasi mno along with more millitary hardware.View attachment 986655

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sio kitu ya kusherehekea. Hii ni ukoloni mambo leo. Marekani ni mashetani wakubwa sana katika hii dunia. Hapo Uhuru Kenyatta ametuangusha sana. Mbona anakubali hizi majitu kuleta uchafu yao huku. Kila mahali wanapokwenda wanaleta vita. Angalia Iraq, Afghanistan, Syria, Vietnam na kadhalika. Nadhania hii ni backward step tumechukua kama nchi. We have been colonised once, let us not be colonised again.
 
Wakimaliza wataka wafanye practice kama yanafanya kazi sawa sawa ndio kisanga kitaanzia hapo.
 
Duh! Halafu haya mapicha yanaruhusiwa kupigwa na kuachiwa kihivi....
Poa waweke madubwasha ya kisasa hayo maeneo ili mashababi yawe yanaonekana kwa mbali kabla kufika.
Hahaa with authorised access, unapiga tu ila wanakuonyesha cha kupiga and what not tu...Mashababi bila shaka joto la Trump wameliskia! maana kwa ss ivi reaper drones aina ya mq 9 na mq1b zipo nchini , wanaonekana na kuskika toka angani na baadae wanapokea salamu..
FB_IMG_1546680795635.jpg
FB_IMG_1546680526482.jpg
FB_IMG_1546680454947.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • FB_IMG_1546680795635.jpg
    FB_IMG_1546680795635.jpg
    41.2 KB · Views: 44
Back
Top Bottom